Mtaka machafuko ni ccm na serikali yake. Huwezi kuwa unateka watu na kuwapoteza halafu utegemee watu wakaye kimya huku wakiwa wanapotea mmoja mmoja!Kama wazalendo tujiulize sana tena sana ni nani shabiki wa machafuko nchini?
Kwa nini kikundi kilekile ndio hubakia kuwa wachochezi wa fujo kila mwaka na kwa kila Rais?
Kama Taifa changa je tumewahi kujiuliza ni nani huyu asiyetaka tukjikwamue kwenye umasikini kwa namna yetu wenyewe?
Tutafakari
Kwani unapiga kura ili upate nini?. Mpigie mgombea atakaye kupa kile unachotaka!.Anayelipa kwa nani?
.........kura tushapigiwa, atakayepiga na asiyepiga hawatofautiani.Lissu hana mbadala!, Ila kuna mgombea mmoja tuu anayelipa, kamchague mgombea huyo!, tena nakuomba asikudangaye mtu usijitokeze kupiga kura Thread 'Kuna Vitu Ili Maisha Yaende, Lazima Upige!, Usipopiga, Utapigiwa! na Maisha Yataendelea!. Sasa Kati ya Kupiga na Kupigiwa, Bora Kipi? Nakushauri Piga!' Kuna Vitu Ili Maisha Yaende, Lazima Upige!, Usipopiga, Utapigiwa! na Maisha Yataendelea!. Sasa Kati ya Kupiga na Kupigiwa, Bora Kipi? Nakushauri Piga!
P
Ni kweli hujuwi?Kama wazalendo tujiulize sana tena sana ni nani shabiki wa machafuko nchini?
Kwa nini kikundi kilekile ndio hubakia kuwa wachochezi wa fujo kila mwaka na kwa kila Rais?
Kama Taifa changa je tumewahi kujiuliza ni nani huyu asiyetaka tukjikwamue kwenye umasikini kwa namna yetu wenyewe?
Tutafakari
Mpaka hapo kama mwaribifu wa taifa lako hujuwi, ni dhahiri kuwa hata ukioneshwa sasahivi, kutokuwa na la kumfanya.Nina mashaka makubwa na uraia wa baadhi ya viongozi wa juu.
Huenda sio raia wa Tanzania na hivyo hawana uchungu na taifa letu.
Nina uchungu sana na taifa langu na nikibahatika kumuona anayeliharibu niko tayari kufa naye.
Mungu Ibariki Tanzania.
Unamchaguaje raisi ambae ameunda tume yake mwenyewe? Au maana ya uchaguzi mimi ndio sijuiHakuna maandamano yoyote wala machafuko yoyote. Siku ya October 29 damages, kamchague kiongozi yoyote unayemtaka.
P
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Tuna safari ndefu sanaaa!Hivyo Wewe Ndiye The Big Boss, Rais ni Mtumishi Wako!. Asikudangaye Mtu Usipige' Je Wajua Kura Yako Ndio Inamuajiri Rais wa JMT na Serikali Yake Yote?.
Ni kweli tena ni mimi niliwatangazia humu matokeo ya uchaguzi mkuu wa 2025 Thread 'Mwana JF, Be The First to Know CCM Ndie The Overall Winner wa Uchaguzi Mkuu wa 2025 Kufuatia Ushindi Serikali za Mitaa。CCM Amekomba Almost Everything!' PreGE2025 - Mwana JF, Be The First to Know CCM Ndie The Overall Winner wa Uchaguzi Mkuu wa 2025 Kufuatia Ushindi Serikali za Mitaa。CCM Amekomba Almost Everything!.........kura tushapigiwa, atakayepiga na asiyepiga hawatofautiani.
Sioni uhusiano wa ushindi wa 29/10 inayohusiana na ushindi wa serekali za mitaa uliopita.Ni kweli tena ni mimi niliwatangazia humu matokeo ya uchaguzi mkuu wa 2025 Thread 'Mwana JF, Be The First to Know CCM Ndie The Overall Winner wa Uchaguzi Mkuu wa 2025 Kufuatia Ushindi Serikali za Mitaa。CCM Amekomba Almost Everything!' PreGE2025 - Mwana JF, Be The First to Know CCM Ndie The Overall Winner wa Uchaguzi Mkuu wa 2025 Kufuatia Ushindi Serikali za Mitaa。CCM Amekomba Almost Everything!
Tunachokwenda kufanya tarehe 29 ni kumthibitisha tuu kwa kwenda kutiki kuhalalisha mchakato.
P
Kwani mahakama ishatoa hukumu ya Mpina?Kwa vile Lissu sio mgombea, nakushauri nenda kamchague mgombea mwingine yeyote, mfano hata sisi Wasukuma, tulipanga kura zetu zote kwa Mpina, Mpina akawa sio mgombea, sasa tutampa mgombea anayelipa!. Thread 'Je Wajua Kura Yako Ndio Inamuajiri Rais wa JMT na Serikali Yake Yote?. Hivyo Wewe Ndiye The Big Boss, Rais ni Mtumishi Wako!. Asikudangaye Mtu Usipige' Je Wajua Kura Yako Ndio Inamuajiri Rais wa JMT na Serikali Yake Yote?. Hivyo Wewe Ndiye The Big Boss, Rais ni Mtumishi Wako!. Asikudangaye Mtu Usipige
P
Huu ndio udhaifu mkubwa sana katika siasa zetu, badala ya kufanya siasa za kimikakati tunafanya siasa za matukio!.Sioni uhusiano wa ushindi wa 29/10 inayohusiana na ushindi wa serekali za mitaa uliopita.
Drones za wanamtandao na wanamtandao!Kama wazalendo tujiulize sana tena sana ni nani shabiki wa machafuko nchini?
Kwa nini kikundi kilekile ndio hubakia kuwa wachochezi wa fujo kila mwaka na kwa kila Rais?
Kama Taifa changa je tumewahi kujiuliza ni nani huyu asiyetaka tukjikwamue kwenye umasikini kwa namna yetu wenyewe?
Tutafakari
Mimi sijahusika na kifungo cha jukwaa nilipo.Wewe mbona hujavumilia?
Mbaya zaidi unaambiwa hauwezi kumaliza matatizo yote.Miaka zaidi ya 60 ya uhuru ila vipaumbele vyetu ni maji, vyoo na elimu bure😂😅
jiheshimu we mzeeHakuna maandamano yoyote wala machafuko yoyote. Siku ya October 29, jitokeze kamchague kiongozi yoyote unayemtaka.
P