Kuna ndoto nimeota ghafla, inasema; kutokana na Urusi kuwadindia EU kwenye suala la energy, ambayo kwa miaka mingi imekuwa injini ya uchumi wao, ni lazima watafute source nyingine reliable (sahel wamegoma).Kama wazalendo tujiulize sana tena sana ni nani shabiki wa machafuko nchini?
Kwa nini kikundi kilekile ndio hubakia kuwa wachochezi wa fujo kila mwaka na kwa kila Rais?
Kama Taifa changa je tumewahi kujiuliza ni nani huyu asiyetaka tukjikwamue kwenye umasikini kwa namna yetu wenyewe?
Tutafakari
Kadri siku zinavyozidi kwenda watanzania wanabadilika kutoka vile walivyozoeleka mpaka kuweza kuonyesha wazi kuchoshwa na hata kufanya kisichodhaniwa wataweza kufanya, inawezekana kweli kabisa maandamano yasiwepo hiyo october 29 ila yajayo yanasikitisha.Hakuna maandamano yoyote wala machafuko yoyote. Siku ya October 29, jitokeze kamchague kiongozi yoyote unayemtaka.
P
Sidhani kama kaka yetu huyu "pasco wa jamboforums" kijana wa Tambaza ile original ya mzee Kalumuna, anaamini haya anayoyaandika.Kadri siku zinavyozidi kwenda watanzania wanabadilika kutoka vile walivyozoeleka mpaka kuweza kuonyesha wazi kuchoshwa na hata kufanya kisichodhaniwa wataweza kufanya, inawezekana kweli kabisa maandamano yasiwepo hiyo october 29 ila yajayo yanasikitisha.
Wewe Chawa na Malaya wa kisiasa nisikilize, Maandamano tunayahitaji sisi wananchi specifically Mimi.Kama wazalendo tujiulize sana tena sana ni nani shabiki wa machafuko nchini?
Kwa nini kikundi kilekile ndio hubakia kuwa wachochezi wa fujo kila mwaka na kwa kila Rais?
Kama Taifa changa je tumewahi kujiuliza ni nani huyu asiyetaka tukjikwamue kwenye umasikini kwa namna yetu wenyewe?
Tutafakari
Kwanza kwa nini uyaite "Machafuko"?Kama Taifa changa je tumewahi kujiuliza ni nani huyu asiyetaka tukjikwamue kwenye umasikini kwa namna yetu wenyewe?
Ona kama hili ?Hakuna maandamano yoyote wala machafuko yoyote. Siku ya October 29, jitokeze kamchague kiongozi yoyote unayemtaka.
P
Nimesikitishwa sana na jina lako; hata sielewi una maana gani kwa haya uliyo andika hapa!Nina mashaka makubwa na uraia wa baadhi ya viongozi wa juu.
Huenda sio raia wa Tanzania na hivyo hawana uchungu na taifa letu.
Nina uchungu sana na taifa langu na nikibahatika kumuona anayeliharibu niko tayari kufa naye.
Mungu Ibariki Tanzania.
Tupe vipaumbele vya chama kikuu cha upinzani baada ya miaka 60Miaka zaidi ya 60 ya uhuru ila vipaumbele vyetu ni maji, vyoo na elimu bure😂😅
Mkuu Chamoto umenikumbusha mbali, enzi za Tambaza ya Kalumuna na kuna jamaa nilikuwa nae darasa moja akiitwa Patrick Chimoto, jina karibu lifanane na Chamoto.Sidhani kama kaka yetu huyu "pasco wa jamboforums" kijana wa Tambaza ile original ya mzee Kalumuna, anaamini haya anayoyaandika.
Sawa kaka, ila nakuhakikishia Mungu ni mwema, wakati wote.Mkuu Chamoto umenikumbusha mbali, enzi za Tambaza ya Kalumuna na kuna jamaa nilikuwa nae darasa moja akiitwa Patrick Chimoto, jina karibu lifanane na Chamoto.
Mimi kosa langu humu jf ni kuwaeleza watu ukweli mchungu wasiopenda kuusikia, hivyo wanakasirika
Hawawajui Watanzania, nakuhakikishia, hiyo tarehe 29 October, hakuna maandamano yoyote, watu tutajitokeza kwa wingi tuu kwenda kutiki!.
P