My self Am The one I do believe on my ability
Eric anayaishi anayo wafundisha watu .....wengine wanawafundisha watu biashara lakini hawana uwezo wa kuonesha biashara hata wanazo zifanya na zilivyo fanikiwa.....mimi hao huwaita wapiga story na wasoma vitabuEric shigongo na kumkubali sana wa nche namba moja in les brown, tony robins na Eric Thomas a.k.a the hiphop preacher
mi namkubali chriss mauki ingawa huwa anaongea kwa mikogoo..kiasi kwamba unaweza ukaishia kumtamani badala ya kumsikiliza