Ruge ana ubunifu gani zaidi ya kudhulumu tu idea za watu halafu anawatumikisha bila mkataba akiwachoka anawatimua ?Ukija kwenye Kitengo cha ubunifu hakuna ninaye mkubali kama RUGE the guy is so positive mpaka anakera, visionary boss ka mwili kadogo ila mambo makubwa i learn a lot from him!
Stress zitakuua, naona vyeti vya kuchonga stationary vimekutokea puani teh teh tehJPM namkubali sana hasa pale anapoenda off point au kuropoka pia huwa sichoki kumsikiliza akiongea ngeli, huwa nashawishika wanangu wote wapite English medium...!!
Huyu hamna kitu...kama umewasikiliza wengi utagundua huyu jamaa ni mtu wa copy and paste...binafsi huwa simuoni kama ana jipya.mi namkubali chriss mauki ingawa huwa anaongea kwa mikogoo..kiasi kwamba unaweza ukaishia kumtamani badala ya kumsikiliza
Kwa mliowai kuwasikia au kuwaona watoa mada au waongeaji kwenye majukwaa ya hamasa kwenye angle tofauti naamini kuna watu walikuvutia kwa umahiri wao, story zao halisi za maisha au kukupa nguvu fulani hivi.
Mimi namkubali sana Masudi Kipanya na kuna mtu nilimuona jukwaa fulani anaitwa James.
Namkubali Kipanya sababu atengenezi hadithi na ana facts.
Wewe unaesoma hapa unamkubali nani?
Sijawahi kumsikiliza yeyote wakati akiongea as Motivational Speaker lakini kama ningekuwa nimefanya hivyo basi huenda ningekuwa convinced na watu wenye elimu ndogo kama akina Masoud Kipanya au Shigongo kuliko wenye elimu kubwa kama akina Chris Mauki!!!
Watu dizaini ya Kipanya wanakuwa real... na wataongea mambo waliyo na uzoefu nayo wakati watu aina ya Mauki wanakuwa too theoretical! Mara nyingi huwa wanahubiri yale wasiyoyafanyia kazi... more often than not, they preach what they don't practice!