Ileje
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 9,524
- 13,682
Katika hali isiyo ya kawaida na isiyo ya kikatiba Mwenyekiti wa Simba upande wa Mwekezaji anajiuzulu na kumteua Rais wa heshima wa Simba Mo kuwa Mwenyekiti upande wa Mwekezaji!
Hii kitu hakijawahi kutokea tangu kuumbwa kwa dunia na hivyo ajabu lingine la dunia!
Ina maana kumbe Mo ni Mwekezaji feki na kwamba anaweza kupewa kazi na Mwenyekiti upande wa Mwekezaji.
Kila siku tunaaminishwa kuwa Mo ni Mwekezaji na Rais wa heshima wa Simba na kwamba kwa mujibu wa katiba ya Simba ndiyo anapaswa kuteua wajumbe na Mwenyekiti upande wa Mwekezaji kumbe ni geresha tu!
Bila kufanya transformation na kutengeneza katiba imara Simba itabaki mdebwedo!