Hakika mkuuKwenye Hii Vita anayepoteza zaidi ni CHINA.
US akishacontrol vyanzo vyote vya Mafuta Iran na Venezuela.
Biashara imeisha kwa UCHINA, HUWEZI pigania vita na Taiwan ukiwa huna uhakika wa Mafuta m
Kwa UFUPI, MAGHARIBI wataiongoza Dunia.
Ulishawahi kumuona?Historia inaonyesha kuwa Taifa linalomkir Kristo ndio huchanua mpaka miisho ya dunia
nampenda Yesu
Ndio. Alishawahi Muona. Una lingine?Ulishawahi kumuona?
Hapo unafanya assumption kwamba China ataipiga Taiwan sasahivi. Wakati yeye yupo busy na uchumi, kukuza jeshi, uzalishaji na soft power duniani.Kwenye Hii Vita anayepoteza zaidi ni CHINA.
US akishacontrol vyanzo vyote vya Mafuta Iran na Venezuela.
Biashara imeisha kwa UCHINA, HUWEZI pigania vita na Taiwan ukiwa huna uhakika wa Mafuta m
Kwa UFUPI, MAGHARIBI wataiongoza Dunia.
Yupoje!!Ndio. Alishawahi Muona. Una lingine?
Atakuwa mrithi wake gallow birdBaada ya Babu Ali 'kupotezwa', ni nani anayetowa kamandi za 'makamanda' wa iliyokuwa IRGC kurusha zile 'penseli'?
Au 'makamanda' wamekuwa kama wanamgambo wa Hamas na Hesbollah?
Mfano nani saii miongoni mwa 'makamanda' wa IRGC anaweza kunyanyuwa simu na kuwapigia Xi, Putin au Kim Kiduku?
Uma akili za ki CCM eeh? Unadhan kwann Marekan alianza kuipiga Venezuela?? Ni sababu alikua anatafuta Njia mbadala ya MAFUTA na GAS.Hapo unafanya assumption kwamba China ataipiga Taiwan sasahivi. Wakati yeye yupo busy na uchumi, kukuza jeshi, uzalishaji na soft power duniani.
Kama China angetaka kuivamia Taiwan kipindi cha Biden angeweza.
Hakuna wakuongoza ndo maana Wana rusha rusha hovyo makombora kwenye nchi za watu wakipiga mahoteli, viwanja vya ndege na makazi ya watuBaada ya Babu Ali 'kupotezwa', ni nani anayetowa kamandi za 'makamanda' wa iliyokuwa IRGC kurusha zile 'penseli'?
Au 'makamanda' wamekuwa kama wanamgambo wa Hamas na Hesbollah?
Mfano nani saii miongoni mwa 'makamanda' wa IRGC anaweza kunyanyuwa simu na kuwapigia Xi, Putin au Kim Kiduku?
Oktoba 7, 2023 was a turning point, Iran na Hamas walifanya a wrong calculate move.Baada ya Babu Ali 'kupotezwa', ni nani anayetowa kamandi za 'makamanda' wa iliyokuwa IRGC kurusha zile 'penseli'?
Au 'makamanda' wamekuwa kama wanamgambo wa Hamas na Hesbollah?
Mfano nani saii miongoni mwa 'makamanda' wa IRGC anaweza kunyanyuwa simu na kuwapigia Xi, Putin au Kim Kiduku?
Ana best renewable technology na electricity kuliko nchi zote za beberu combined, electric cars anaongoza dunia nzima,bado anahitaji mafuta lakini sio kitu kinaweza kumrudisha nyuma, oil is a dying business anywayKwenye Hii Vita anayepoteza zaidi ni CHINA.
US akishacontrol vyanzo vyote vya Mafuta Iran na Venezuela.
Biashara imeisha kwa UCHINA, HUWEZI pigania vita na Taiwan ukiwa huna uhakika wa Mafuta m
Kwa UFUPI, MAGHARIBI wataiongoza Dunia.
Kati ya hawa mmoja wao atachaguliwa na kuwa Supreme leader wao maana Ayatollah alisema ikiwa atakufa, mmoja ya hawa aliowateua aongoze taasisi.Baada ya Babu Ali 'kupotezwa', ni nani anayetowa kamandi za 'makamanda' wa iliyokuwa IRGC kurusha zile 'penseli'?
Au 'makamanda' wamekuwa kama wanamgambo wa Hamas na Hesbollah?
Mfano nani saii miongoni mwa 'makamanda' wa IRGC anaweza kunyanyuwa simu na kuwapigia Xi, Putin au Kim Kiduku?
Kati ya hawa mmoja wao atachaguliwa na kuwa Supreme leader wao maana Ayatollah alisema ikiwa atakufa, mmoja ya hawa aliowateua aongoze taasisi.View attachment 3550451Baada ya Babu Ali 'kupotezwa', ni nani anayetowa kamandi za 'makamanda' wa iliyokuwa IRGC kurusha zile 'penseli'?
Au 'makamanda' wamekuwa kama wanamgambo wa Hamas na Hesbollah?
Mfano nani saii miongoni mwa 'makamanda' wa IRGC anaweza kunyanyuwa simu na kuwapigia Xi, Putin au Kim Kiduku?
CCM inaingiaje kwenye mgogoro wa mafuta baina ya China na Marekani? Then next time ukininukuu, ondoa hizo emoji za kucheka kwenye vitu havichekeshi.Uma akili za ki CCM eeh? Unadhan kwann Marekan alianza kuipiga Venezuela?? Ni sababu alikua anatafuta Njia mbadala ya MAFUTA na GAS.
alipopata uhakika huo, Kaka kumchapa IRAN ambaye ndie mfadhili Mkubwa wa Mafuta na Gas wa Uchina .
MAREKAN NA NATO, WALISHAITAMBUA CHINA KAMA "KIKWAZO KUU"... unaelewa maana ya hii??? Ni kwamba China aruke anavyoweza NI LAZIMA AANGUSHWE TU KWA SABABU KWAO NDIO KIKWAZO KIKUU.
Saa hii wanamchapa Muiran, wakifanikiwa kufanya Mabadiliko ya Utawala, wakaweka mtu wao, maana yake nini??.
Mafuta na Gas kwenda kwa wachina yatasimama kama yalivyosimama ya Venezuela.
Nchi Marafiki wa UCHINA na URUSI (BRICS) zitaondoa USHAWISHI kwa sababu hazitataka Kukumbwa na majanga kama ambayo sasa Venezuela, Cuba ,wanapitiaa.
China haitóweza anzisha vita na TAIWAN kwa sababu hawatakua na Utawala wa Mafuta kutosha kuendesha vita
CHINA Njia yake pekee alonayo ni Kuanzisha Vita muda huu ambao Marekan Yuko busy na Iran, Ukraine.
Akisubiri hili lipite, mamaweeeeee Atachapika vibaya sana naarekan wenyewe kupitia TAIWAN ndio wanaltaanzisha hiyo VITA.
Ngoja ajifanye yupo busy na UCHUMI na kua supapawa, atangushwa TU , Ukiona mwenzio ananyolewa 🤣🤣
Magharibi waiongoze dunia mara ngapi?Kwenye Hii Vita anayepoteza zaidi ni CHINA.
US akishacontrol vyanzo vyote vya Mafuta Iran na Venezuela.
Biashara imeisha kwa UCHINA, HUWEZI pigania vita na Taiwan ukiwa huna uhakika wa Mafuta m
Kwa UFUPI, MAGHARIBI wataiongoza Dunia.
Wewe jamaa unaya chukulia mambo simple simple tu huyo Iran na Venezuela wanachangia asilimia ngapi ya importation ya mafuta kwa China ? Na nani anaongoza ? Na China ilikuwa ikifanya biashara na Maduro na Ayatollah au na Venezuela na Iran kiasi kwamba hata pasipo uwepo wao mikataba ya China itaendelea kuwepo jijibu mwenyeweKwenye Hii Vita anayepoteza zaidi ni CHINA.
US akishacontrol vyanzo vyote vya Mafuta Iran na Venezuela.
Biashara imeisha kwa UCHINA, HUWEZI pigania vita na Taiwan ukiwa huna uhakika wa Mafuta m
Kwa UFUPI, MAGHARIBI wataiongoza Dunia.
China kwa miaka mitano amekuwa na average ya ukuaji wa kuagiza mafuta kwa about 2.6% ila mwaka wa tano kashuka kidogo uagizaji kwa 0.4% kulingana na previous year.Ana best renewable technology na electricity kuliko nchi zote za beberu combined, electric cars anaongoza dunia nzima,bado anahitaji mafuta lakini sio kitu kinaweza kumrudisha nyuma, oil is a dying business anyway