Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 2,912
- 12,904
- Thread starter
- #21
SawaNi Hajji Mara[emoji28]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SawaNi Hajji Mara[emoji28]
Ila huyu rais mtoto Eng. Hersi Said ni noma na nusu.Kiukweli ni jambo liliniumiza kichwa baada ya wachezaji kadhaa kutangazwa kuachwa au kuruhusiwa waende wapendapo.
Yannick bangala - Huyu tuwe wakweli alikuwa bora sana msimu uliopita licha ya makosa kadhaa ya kibinadamu lakini fundi huyu anaecheza namba zaidi ya mbili uwanjani nachelea kusema alikuwa bora sana.
Djuma Shabani - Huyu naye alikuwa ni beki tegemeo sana haswa ule msimu wa kwanza kiasi cha kuaminiwa zaidi akaingia kwenye mfumo msimu unaofuata na kuipeleka Yanga fainali kwenye kombe la shirikisho. Japo unene wake ulianza kumfanya awe mzito uwanjani.
Feisal Salum - Huyu ni fundi ni kiungo wa kisasa kabisa, hata baada ya kuanza kuiringia Yanga na kuisumbua na mambo kibao, niwe mkweli; roho iliniuma lakini sikuwa na cha kufanya hata maboss wake hawakutaka kumuachia kirahisi lakini dogo alipata baada ya kutetewa na mama.
Fiston Mayele - Huyu sina maelezo mengi ya kusema zaidi ya kumuombea afanikiwe huko alipo,ila bado yupo kwenye mioyo yetu wanayanga. Siku Yanga akitoa sare au kufungwa lazima jina la Mayele litatajwa.
Nikirudi kwenye heading ni kwamba injinia mwenye jicho la mwewe, Hersi Said, anajua mpaka anajua tena .halafu ukimuangalia hata akiwa jukwaani utagundua ndiye mwenye uchungu na timu kuliko yeyote yule.
Wachezaji wapya kama Max, Yao, wenye miili midogo na wembamba,binafsi sikuwa na imani nao kabisa,lakini kumbe hawa jamaa ni hatari mno tena hawaridhiki. Pacome zouzou sina shida naye ni mchezaji tegemeo kabisa bonge moja la mtu.
Hafidhi konkon bado kidogo haswa kutokana na namba anayocheza ni namba yenye presha ila akipewa muda najua atafunga tu.
Hakika hii ni maana ya kikosi kipana hata fitina za Fabrice ngoma wanayanga tunaanza kuzisahau.
Viva Yanga, Viva injinia kwa kazi nzuri.
Jamaa ana connection, anaupenda mpira na pia ana jicho la mpiraIla huyu rais mtoto Eng. Hersi Said ni noma na nusu.
Kambole na Bigirimana wanachekea chooni.Injinia Hersi ni bonge la kiongozi, haruhusu gharasa kutua Yanga, haruhusu upigaji kwenye usajili
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni ujinga, sisi huwa tunasema unaliongopea rungu lako.. kuwa limechovya sehemu wakati hujachovya[emoji1787]
Kusajili na sub huwa kuna kamari.Kambole na Bigirimana wanachekea chooni.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bas sawaaKusajili na sub huwa kuna kamari.
Ongeza sunday manara, said maulid nasikia huwa nao wanahusikaHersi saidi & Ally mayay
Ni vile Yanga inataka viwango vya EPL, lakini hao uliotaja kwa Simba ni first 11 woteUnasema? Wapi kambole, birigimana, beki la chan na kadhalika?
AahaaaaSasa hivi Yanga wameshaanza kutafuta wachezaji kwa ajili ya usajili wa msimu wa 2024 - 2025
Aiseee kumbe back end wapo wengi front end anaonekana Hersi tuOngeza sunday manara, said maulid nasikia huwa nao wanahusika