Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Lisu,Heche & Chadomo bila kusahau Serikali 😂😂Hamjambo!
Hili ni swali muhimu sana. Swali la ukombozi. Majibu yake ndio msingi wa wewe kutoka hapo ulipo.
JE ni nani unayemsubiri aje kubadilisha maisha yako?
Ni mumeo?
Ni mkeo?
Ni wazazi wako?
Au watoto uliowazaa?
Au serikali?
Kama huna unayemsubiri. Sasa muambie Mtibeli hapa, nini kinakufanya usubiri?
Kila siku kesho
Kila siku unahairisha.
Kila wakati visingizio.
Kwa nini usianzie ulipo?
Mbona mtibeli yeye anafanya anachoweza. Anaandika andika. Anafanya ajuavyo.
Wewe nini kinakufanya usifanye ulichonacho?
Unawaza pesa ambazo huna?
Unawaza mtaji usio nao?
Unawaza elimu na ujuzi ambao hauna?
Sisi Watibeli hatuwazi mambo ambayo hatuna. Tunawaza tunatumiaje tuliyonayo kufika kule tunakotaka kwenda.
Unapoendesha Gari ukiwa ndani ya Gari. Unaelekea Arusha, upo Singida. Huwezi angalia Arusha wakati bado upo Singida. Sheria za barabarani unazifuata zile unazoziona Muda huo.
Unapocheza mpira. Unaangalia mpira na aliyembele yako utafute namna ya kumpita. Aliyembele yako ni changamoto yoyote. Huwezi kuwaza kumfunga goli lililo mbali wakati unatakiwa uwapite waliokaribu yako. Utumie mpira uliopo miguuni mwako.
Dribble your balls. Usicheze mipira ambayo hauna.
Nani unamsubiri?
TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Cha kuchekesha nini hapo wewe kalio???Lisu,Heche & Chadomo bila kusahau Serikali 😂😂
Kalio ndio linachekesha.Cha kufura
Cha kuchekesha nini hapo wewe kalio???
Namsubiri Yesu wa Nazareti apigwe tena ili maisha yangu yabadilikeHamjambo!
Hili ni swali muhimu sana. Swali la ukombozi. Majibu yake ndio msingi wa wewe kutoka hapo ulipo.
JE ni nani unayemsubiri aje kubadilisha maisha yako?
Ni mumeo?
Ni mkeo?
Ni wazazi wako?
Au watoto uliowazaa?
Au serikali?
Kama huna unayemsubiri. Sasa muambie Mtibeli hapa, nini kinakufanya usubiri?
Kila siku kesho
Kila siku unahairisha.
Kila wakati visingizio.
Kwa nini usianzie ulipo?
Mbona mtibeli yeye anafanya anachoweza. Anaandika andika. Anafanya ajuavyo.
Wewe nini kinakufanya usifanye ulichonacho?
Unawaza pesa ambazo huna?
Unawaza mtaji usio nao?
Unawaza elimu na ujuzi ambao hauna?
Sisi Watibeli hatuwazi mambo ambayo hatuna. Tunawaza tunatumiaje tuliyonayo kufika kule tunakotaka kwenda.
Unapoendesha Gari ukiwa ndani ya Gari. Unaelekea Arusha, upo Singida. Huwezi angalia Arusha wakati bado upo Singida. Sheria za barabarani unazifuata zile unazoziona Muda huo.
Unapocheza mpira. Unaangalia mpira na aliyembele yako utafute namna ya kumpita. Aliyembele yako ni changamoto yoyote. Huwezi kuwaza kumfunga goli lililo mbali wakati unatakiwa uwapite waliokaribu yako. Utumie mpira uliopo miguuni mwako.
Dribble your balls. Usicheze mipira ambayo hauna.
Nani unamsubiri?
TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Lisu,Heche & Chadomo bila kusahau Serikali 😂😂
Huyu ni mimi na kila mtu pamoja na wewe
Tunaisubiri kesho ambayo haijawahi kufika tunajificha kwenye kichaka cha ubize angali hakuna tunachofanya.
Kwa wale wafia dini wanamsubiri Allah na Jesus wafanye kwa wakati wake... Wakati ambao hautakuja kufika
Kula maisha mengine subiri ukifa...
Swali fikirishi sana..... nimependa
kwa kweli sisi zetu ni dua tu
Namsubiri Yesu wa Nazareti apigwe tena ili maisha yangu yabadilike
Nampendaga nshamvizia sana bila mafanikioSio unampenda mwenye swali pia?