Paulsylvester
JF-Expert Member
- Oct 15, 2021
- 1,464
- 3,379
Kati ya watu nawaaminia ni mh Jobu, aliwahi charaza mtu peupe pe,
Na aina ya watu hawa usiwachezee kabisa kwa Kila wanachokiamini tena hasa ukianzisha vagi nao!
Jobu, anasimamia mhimili unaojitegemea, na moja ya sifa za mhimili huo ni kuishauri na kuikosoa serikali,
Kwa hali yoyote na kwa tafsiri yoyote kwa aliyoyaongea mh sipika, yote yako sawa tuu, kwa sababu yeye amebeba sifa hizo za kuishauri serikali
Sasa chama kinapokuja juu kwa kauri ya sipika, ni kukosa mwelekeo na kufirisika, ndiyo, kwa upande mwingine, Jobu ni mwanachama wa chama hicho, lakini analindwa na sheria zingine za kibunge kama sipika wa bunge
Na kama chama hawatofautishi vitu hivyo, na bado Sipika analindwa na sheria za kibunge, Basi mh sipika lililopo ni kunyooka sasa!
Unahakikisha unakuwa upande wa wananchi kwa kufanya kazi bila kuruhusu michongo ya wachache kuifirisi nchi yetu na ili hali wanafahamu wewe ndiye mpitisha sheria za nchi na za miradi mikubwa mikubwa na nyengine ya kinyonyaji
Piga chini mradi wa bandari ya bagamoyo ili wajue kwamba kumbe wewe na bunge lako ni mhimili mwingine kabisa na kwamba kila mafanikio na uhovyo wa mafanikio ya serikali yanaanzia hapo