Hii imekuja hivi karibuni baada ya kiongozi/Msajili wa baraza la kusajili na kusimamia Wauguzi Tanzania Bi.Agnes mtawa kudai kwamba hajui ni nani aliyeanzisha muundo wa Muuguzi ngazi ya Degree kulipwa TGHS C badala ya TGHS D kama kada nyingine ambazo miaka ya kukaa darasani ni sawa na wauguzi ukijumlisha na mwaka mmoja wa Internship.
Swali la msingi kama Kiongozi wa TNMC hajui ni nani aliyeanzisha huu muundo,je ni nani wa kujua??
Na kama amekiri hadharani hajui,haoni ni wakati sahihi wa yeye kuachia madaraka kwa wengine wenye uelewa??