FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Kila kwenye shirika la serikali wezi ni wengi, kuanzia wafagizi mpaka wakurugenzi, wote ni wezi.Hilo Shirika la ndege ndio chaka rahisi la wapigaji wakishindwa kwenye manunuzi wanakamatisha ndege ilipe deni wanakula mgao kila mwaka CAG anakuja na hasara mbona hawalifungi waendelee na kazi zao za kukusanya kodi na kujenga madaraja kuliko hivyo kila kukicha hasara mabilioni harafu hakuna kinachoendelea ila mmetunga sheria ya kukamata wasiopokea risiti ya EFD...