Ni nani waliongeza cha juu kwenye manunuzi ya ndege ya mizigo?

Kila kwenye shirika la serikali wezi ni wengi, kuanzia wafagizi mpaka wakurugenzi, wote ni wezi.
 
Na wapo wanatajana kuwa flani ndio alisema mpaka sasa mama anashindwa amfukuze nani aache nani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…