Uchaguzi 2020 Ni nani watasimamia uchaguzi mkuu 2020!?

Uchaguzi 2020 Ni nani watasimamia uchaguzi mkuu 2020!?

blogger

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2012
Posts
12,112
Reaction score
15,060
Nauliza NEC. Ni swali gumu linaloweza kuleta TAFRANI.

JE WATATUMIWA WATUMISHI HAWAHAWA!?
Yaani hawahawa licha ya walivyotendwa miaka hii mitano!?

Watumishi(WALIMU)... Mtafanya kazi hiyo!?

Naishia hapo. Nisije itwa mchochezi au mhujumu uchumi.

VIVAA.
 
Wasimamizi wakuu wakikunja kuanzia 1M ni furaha kwao. Na ni HAO HAO

IBAKI MADARAKANI CCM YETU.
 
Mkuu ogopa mikwara ya hapo.

Hata kama ulidhamiria kusema ukweli ni lazima umsikilize Mkurugenzi.

Jamaa anasema wazi ya kwenye semina yaacheni huko. Hapa mnaniskiliza mimi
 
TanzaniaIna Watu Wengi Sana Wanaweza Kusimamia.
 
Atakayesimamia uchaguzi Mkuu ni yuke ,aliyekuwa anawaambia juzi wale watoza ushuru wa TAG pale Dodoma kuwa uchaguzi utakuwa huru na wa haki
 
Kama kawaida, ni kazi ya punda kubeba mizigo.
 
Atakayesimamia uchaguzi Mkuu ni yuke ,aliyekuwa anawaambia juzi wale watoza ushuru wa TAG pale Dodoma kuwa uchaguzi utakuwa huru na wa haki
Haa 😁😂
Kwenye Biblia Takatifu Zakayo Ndiyo Mtoza Ushuru(Biblia Inasema Zakayo Alikuwa Mfupi Wa Kimo)
 
Wasimamizi wakuu wakikunja kuanzia 1M ni furaha kwao. Na ni HAO HAO

IBAKI MADARAKANI CCM YETU.
Kama naona nawaona vile wasimamizi wa mwaka huu.. Itakuwa hatari sana..
 
Kama naona nawaona vile wasimamizi wa mwaka huu.. Itakuwa hatari sana..
Mtumishi wa umma

Umma ni CCM (tupo wengi)

Mtumishi wa serikali

Serikali ya CCM.

Kidumu chama Tawala.
 
Nauliza NEC. Ni swali gumu linaloweza kuleta TAFRANI.

JE WATATUMIWA WATUMISHI HAWAHAWA!?
Yaani hawahawa licha ya walivyotendwa miaka hii mitano!?

Watumishi(WALIMU)... Mtafanya kazi hiyo!?

Naishia hapo. Nisije itwa mchochezi au mhujumu uchumi.

VIVAA.

Jibu ni rahisi sana.

Msimamizi awe na Kitambulisho cha NIDA
 
Hao hao mkuu, hakuna wengine. Lkn pamoja na madhira yote waliofanyiwa kwa miaka mitano watakuwa watiifu hatari.
 
Mtumishi wa umma

Umma ni CCM (tupo wengi)

Mtumishi wa serikali

Serikali ya CCM.

Kidumu chama Tawala.
Serikali haitakiwi kuwatoa walimu vituoni mwaka huu.
Ikumbukwe madhara ya COVID 19 yalivyoleta disruption ktk syllabus coverage..
Watumie vijana wasioajiriwa mwaka wa tano sasa.
 
Back
Top Bottom