Ni nchi gani Africa kusini mwa sahara inaonyesha matumaini ya kuondokana na ushithole?

Ni nchi gani Africa kusini mwa sahara inaonyesha matumaini ya kuondokana na ushithole?

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
15,657
Reaction score
20,967
istockphoto-587892720-612x612.jpg
 
Ukitoa Africa Kusini,yenye hiyo chance ni KENYA na GHANA tu

Tanzania tulikua nayo ila tumeenda kusiko

Nigeria inakabiliwa na population problem na wizi

Angola politically unstable,viongozi wanajiwekea hela sana

Mauritius sijui Botswana,vinchi vidogo haviwezi kua superpower kabisa
Ushabiki pembeni Kenya, Tanzania, Nigeria bado sana.
 
Kivipi mkuu?

Ukitoa SA na Angola kuna nchi gani zinaipita Nigeria,Ghana na Kenya kwa uchumi na demokrasia?
Angola haiipiti Nigeria, Nigeria imo kwenye top 3 ya kuwa na highest GDP in Africa ( nchi nyingine ni SA, Egypt)

Angola haiizidi Nigeria.
 
Hivi unajua maana ya Nchi zilizoko kusini mwa jangwa la Sahara au unataja tu nchi za Kiafrika kwa ujumla bila kuzingatia jinsi mleta maada alivyouliza? Aljeria,Mauritius na Morocco haziko chini ya jangwa la Sahara. Kasome Tena.
Imeloa hiyo
 
Sikuelewa vema, haya toa hao waarabu wa Algeria na Morocco ila Mauritius iko kusini mwa jangwa la sahara.

Mataifa yaliyo kaskazini mwa jangwa la sahara ni Egypt, Libya, Tunisia, Algeria, Morocco na Sahara Magharibi. Period.
 
India has the 6th biggest economy in the world, with an economy 10 times bigger than Sweden & Finland , but are Indians living better than Swedish, Finnish ???
What do you mean? Yes,there is a large number of Dollar Milionares in India than in Sweden and Finland Combined together. India has about 3 Million Dollar Milionares as compared to 89 for Sweden and 68 for Finland.
 
Ukitoa Africa Kusini,yenye hiyo chance ni KENYA na GHANA tu

Tanzania tulikua nayo ila tumeenda kusiko

Nigeria inakabiliwa na population problem na wizi

Angola politically unstable,viongozi wanajiwekea hela sana

Mauritius sijui Botswana,vinchi vidogo haviwezi kua superpower kabisa
Ghana na Kenya nakubali. South naona ina shida kubwa sana ya usalama, rushwa na tofauti ya matajiri na maskini, South ndiyo inaongoza kwa tofauti kubwa ya maskini na matajiri duniani. Na kampeni za bwana Malema za kuchukua ardhi bila fidia naona itazidi kutumbukia chooni.
 
[
Angola haiipiti Nigeria, Nigeria imo kwenye top 3 ya kuwa na highest GDP in Africa ( nchi nyingine ni SA, Egypt)

Angola haiizidi Nigeria.
Usicheki tu GDP, angalia na muelekeo wa nchi yenyewe kama inaleta matumaini. Nigeria kuna rushwa babkubwa, South East inataka kujitenga na vita ndogondogo inaendelea. Usalama zero, Boko Haram, watekaji nk. Nigeria haileti matumaini kabisa.
 
Back
Top Bottom