Ni nchi gani Afrika ya Mashariki inayoongozwa kwa kufuata Sheria na Katiba?

Ni nchi gani Afrika ya Mashariki inayoongozwa kwa kufuata Sheria na Katiba?

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
21,470
Reaction score
40,593
Afrika ya mashariki inaundwa na nchi zifuatazo:;

  1. Kenya
  2. Tanzania
  3. Uganda
  4. Burundi
  5. Sudan Kusini
  6. Somalia
Kati ya nchi hizi za Afrika ya mashariki ipi unadhani inaongozwa kwa kufuata Sheria na Katiba ya nchi yao?
 
Afrika ya mashariki inaundwa na nchi zifuatazo:;

  1. Kenya
  2. Tanzania
  3. Uganda
  4. Burundi
  5. Sudan Kusini
  6. Somalia
Kati ya nchi hizi za Afrika ya mashariki ipi unadhani inaongozwa kwa kufuata Sheria na Katiba ya nchi yao?
1. KENYA

Kwa kiasi kikubwa Sana Wakenya wanajitajidi kufuata Utawala wa Sheria na utiifu wa Katiba yao licha ya kwamba Wana mapungufu yao na kasoro zao ndogo ndogo.

Ufanisi wao katika Utawala wa Sheria na utii wa Katiba upo juu Sana ukilinganisha na nchi nyingine zozote zile za Afrika Mashariki na Afrika yote kabisa kwa ujumla wake.
Ufanisi wao upo kwa takribani 75%

Nchi zingine zote zilizobaki ulizozitaja kwenye orodha yako ufanisi wake upo chini ya Asilimia Tano (below 5%)
 
Ni afrika sio nchi ulizo sema.
Nchi nyingi za afrika kupitia vyama vya ukombozi na utawala vimejikuta vikiona vinaishi na mjinga putin.

We chunguza ujamaa na ukombozi ulivofanya nchi nyingi.
 
Tanzania 0% ni nchi ya ujinga umasikini na maradhi wananchii hawajuhi ata watu wanaomiliki makontena ya fedha.
 
Back
Top Bottom