Kwa kiasi kikubwa Sana Wakenya wanajitajidi kufuata Utawala wa Sheria na utiifu wa Katiba yao licha ya kwamba Wana mapungufu yao na kasoro zao ndogo ndogo.
Ufanisi wao katika Utawala wa Sheria na utii wa Katiba upo juu Sana ukilinganisha na nchi nyingine zozote zile za Afrika Mashariki na Afrika yote kabisa kwa ujumla wake.
Ufanisi wao upo kwa takribani 75%
Nchi zingine zote zilizobaki ulizozitaja kwenye orodha yako ufanisi wake upo chini ya Asilimia Tano (below 5%)