Ni nchi gani Duniani ambayo spika wa bunge na Jaji Mkuu huambatana na Rais kila mahali?

Tanzania kwa miaka kama saba hivi spika na Jaji Mkuu ni sehemu ya msafara wa Rais. Kila anapokuwa Rais lazima spika awepo pembeni na Jaji Mkuu. Utatu huu mtakatifu unawezaje kutekeleza dhana ya separation of power?

Ukimsikiliza Spika na Jaji Mkuu wakiwa wanaongea ni kama wapo sehemu ya serikali. Yaani wao wanaongea kama vile ndio wakuu wa Muhimili wa serikali. Wanajadili sana performance ya serikali kuliko Mahakama na Bunge. Hakuna Sehemu mbele ya Rais wanaoshauri bali wanapongeza.

Huu mfumo unatumiwa na nchi gani Duniani ya kidemokrasia au kidikteta? Je, kuna sheria inalazimishwa wakuu wa Mihimili kuambatana kila wakati? Wao wanafanya kazi zao za kibunge na mahakama wakati gani kama ratiba yao ipo subject kubadilika kuendana na ratiba ya president?

Wanapokuwepo kwenye mikutano na vikao vya mhe Rais huwa wanaongeza tija gani? Hawaoni kama wanamzuia Rais kuwakosoa kwa kuwaonea aibu? Uhuru wa Mihimili upo kweli nchini?
Tanzania ni nchi yenye maajabu mengi sana
 
Utatu huo upo Tangu zamani sio kuanzia miaka saba iliyopita. !!
Ni lini ulipata kusikia miaka yote tangu Uhuru mihimili uliyoitaja ilikwenda kinyume na mhimili mkuu. !!
Kutembea pamoja hiyo ni kitu cha kawaida tu !
Hata wasipoonekana pamoja bado wao ni wamoja tu. !!😅😅🙏
Katiba ipo hivyo na hawawezi kwenda kinyume na Katiba !
Kila jumba bovu asisukumiwe yule jamaa 🙏🙏😅
 
Na ndio maana kwa sasa makonda ni kimbilio la watu wenye shida mbalimbali hususani za kimahakama, viongozi wengi shauri ya umaskini wapo kupongeza tu badala ya kutimiza majukumu yao.

Makonda si kimbilio, he cant do shit
Ukiondoa politics wananchi lazima waelewe nothing kita change kupitia yeye
JPM alijiweka sana karibu na wananchi, hakuwa na middle man is why alimanika
 
Tanzania kwa miaka kama saba hivi spika na Jaji Mkuu ni sehemu ya msafara wa Rais. Kila anapokuwa Rais lazima spika awepo pembeni na Jaji Mkuu. Utatu huu mtakatifu unawezaje kutekeleza dhana ya separation of power?

Ukimsikiliza Spika na Jaji Mkuu wakiwa wanaongea ni kama wapo sehemu ya serikali. Yaani wao wanaongea kama vile ndio wakuu wa Muhimili wa serikali. Wanajadili sana performance ya serikali kuliko Mahakama na Bunge. Hakuna Sehemu mbele ya Rais wanaoshauri bali wanapongeza.

Huu mfumo unatumiwa na nchi gani Duniani ya kidemokrasia au kidikteta? Je, kuna sheria inalazimishwa wakuu wa Mihimili kuambatana kila wakati? Wao wanafanya kazi zao za kibunge na mahakama wakati gani kama ratiba yao ipo subject kubadilika kuendana na ratiba ya president?

Wanapokuwepo kwenye mikutano na vikao vya mhe Rais huwa wanaongeza tija gani? Hawaoni kama wanamzuia Rais kuwakosoa kwa kuwaonea aibu? Uhuru wa Mihimili upo kweli nchini?
Ningesali wangepanda Ethiopian airlines wote Kwa siku Moja alafu litokee Lile la Ethiopian
 
Kosa alifanya Nyerere, kuleta latiba ya chama kimoja ya mwaka 77 halafu kuunganisha ccm na kila kitu, kuanzia serikali, mahakama, bunge, vyombo vya dola (usalama, polisi, jeshi). Siku vyombo vya dola vikienda kinyume na ccm ndio utakuwa mwisho wao. Zaidi ya hapo wataendelea kutawala tu, mpaka ama wagombane wenyewe au dunia iishe.
Unalaumu marehemu asiyekuepo, ina maana wewe uliye hai hamnazo na huna unaloweza kufanya duniani, kama wao walikosea basi waliopo warekebishe ikiwemo wewe, kama huwezi basi usilalamike,
Samahani kumbe ni akili ndogo, kweli jina limeakisi kilichomo kichwani mwako.
 
Yaani wao wanaongea kama vile ndio wakuu wa Muhimili wa serikali.

Makala maalum toka maktaba ya JF:
KURUDISHA UHURU WA MIHILIMI MITATU YA DOLA TANZANIA, KATIBA ITAMKE KILA MHIMILI UWE NA MAKAO YAKE KTK MIJI TOFAUTI

Dodoma ibaki kuwa makao ya mhimili wa Bunge / parliament / National assembly ili mhimili huu uendelee kuwa huru.

Dar es Salaam iwe makao makuu ya serikali ya Muungano wa Tanzania ili muhimili wa dola usiote tena mizizi mpaka ndani ya mhimili wa Bunge kama ilivyokuwa wakati wa awamu ya tano Bunge kumezwa na mhimili wa dola.

Mji wa Arusha uwe makao makuu ya mhimili wa Mahakama Kuu ili jaji mkuu na mahakama ya rufani wabaki huko mbali siyo kila siku wanahudhuria hafla za wafanyakazi wa serikali kuu na mikoa wakiapishwa na kwa namna hii ya mgawanyo wa mihimili, Mahakama iwe huru toka minyororo na jinamizi lililoundwa ktk awamu ya tano. Arusha ni makao ya korti ya Afrika Arusha | Search Results | African Court on Human and Peoples' Rights , EACJ www.eacj.org , UN Korti za masuala ya maovu dhidi ya binadamu International Residual Mechanism for Criminal Tribunals May Conclude Most Cases by May 2021, Its President Tells Security Council | Meetings Coverage and Press Releases hivyo Mahakama Kuu ya Tanzania na Jaji Mkuu wa Tanzania Judiciary of Tanzania | Home watakuwa wanabadilisha mawazo na wasomi wenziwe kuhusu namna bora ya Mahakama za Tanzania kujiendesha kwa uhuru na kumaliza mrundikano wa kesi kwa kuwa kila siku wanahudhuria hafla zote za mhimili wa serikali .

The Many Capitals of South Africa​

South Africa's three capital cities are strategically placed throughout the country, each hosting a separate segment of the nation's government. When asked about a single capital, most people would point to Pretoria.

  • Pretoria is the administrative capital. It is home to the executive branch of the South African government, including the President of the Cabinet. The city also hosts many departments of government and foreign embassies.
  • Located in the province of Gauteng, Pretoria is in the northeast part of South Africa and near the city of Johannesburg.
  • Cape Town is the legislative capital. It is home to the country's legislative parliament, including the National Assembly and National Council of Provinces.
  • Located in the southwest corner of South Africa in the province of Western Cape, Cape Town is the second-largest city in population.
  • Bloemfontein is considered the judicial capital. It is home to the Supreme Court of Appeal, the second-highest court in South Africa. The Constitutional Court (the highest court) is located in Johannesburg.
  • Located in the province of Free State, Bloemfontein is in the center of South Africa.
 
Tanzania kwa miaka kama saba hivi spika na Jaji Mkuu ni sehemu ya msafara wa Rais. Kila anapokuwa Rais lazima spika awepo pembeni na Jaji Mkuu. Utatu huu mtakatifu unawezaje kutekeleza dhana ya separation of power?

Ukimsikiliza Spika na Jaji Mkuu wakiwa wanaongea ni kama wapo sehemu ya serikali. Yaani wao wanaongea kama vile ndio wakuu wa Muhimili wa serikali. Wanajadili sana performance ya serikali kuliko Mahakama na Bunge. Hakuna Sehemu mbele ya Rais wanaoshauri bali wanapongeza.

Huu mfumo unatumiwa na nchi gani Duniani ya kidemokrasia au kidikteta? Je, kuna sheria inalazimishwa wakuu wa Mihimili kuambatana kila wakati? Wao wanafanya kazi zao za kibunge na mahakama wakati gani kama ratiba yao ipo subject kubadilika kuendana na ratiba ya president?

Wanapokuwepo kwenye mikutano na vikao vya mhe Rais huwa wanaongeza tija gani? Hawaoni kama wanamzuia Rais kuwakosoa kwa kuwaonea aibu? Uhuru wa Mihimili upo kweli nchini?
Tz hata wasomi ni wajinga
 
Ukiona unaishi kwenye nchi ambayo JUDICIARY, BUNGE na Utawala wanaongea lugha moja,elewa unaushi in a pithole country
 
Ilipaswa kuwa huru, lakini kutokana na kosa la kiufundi la rais ambaye mara nyingi ni mwenyekiti wa ccm, huchagua watu wanaoibeba ccm. Na haya yameshamiri baada ya ccm kupoteza ushawishi wa kisiasa kwa umma.
Haya yana mwisho, Wacha wajidanganye.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Tanzania kwa miaka kama saba hivi spika na Jaji Mkuu ni sehemu ya msafara wa Rais. Kila anapokuwa Rais lazima spika awepo pembeni na Jaji Mkuu. Utatu huu mtakatifu unawezaje kutekeleza dhana ya separation of power?

Ukimsikiliza Spika na Jaji Mkuu wakiwa wanaongea ni kama wapo sehemu ya serikali. Yaani wao wanaongea kama vile ndio wakuu wa Muhimili wa serikali. Wanajadili sana performance ya serikali kuliko Mahakama na Bunge. Hakuna Sehemu mbele ya Rais wanaoshauri bali wanapongeza.

Huu mfumo unatumiwa na nchi gani Duniani ya kidemokrasia au kidikteta? Je, kuna sheria inalazimishwa wakuu wa Mihimili kuambatana kila wakati? Wao wanafanya kazi zao za kibunge na mahakama wakati gani kama ratiba yao ipo subject kubadilika kuendana na ratiba ya president?

Wanapokuwepo kwenye mikutano na vikao vya mhe Rais huwa wanaongeza tija gani? Hawaoni kama wanamzuia Rais kuwakosoa kwa kuwaonea aibu? Uhuru wa Mihimili upo kweli nchini.

Ni nchi ambazo hio mihimili mingine muhimu iko chini ya Mhimili mmoja, Rais. Haijiamini.
 
Tanzania kwa miaka kama saba hivi spika na Jaji Mkuu ni sehemu ya msafara wa Rais. Kila anapokuwa Rais lazima spika awepo pembeni na Jaji Mkuu. Utatu huu mtakatifu unawezaje kutekeleza dhana ya separation of power?

Ukimsikiliza Spika na Jaji Mkuu wakiwa wanaongea ni kama wapo sehemu ya serikali. Yaani wao wanaongea kama vile ndio wakuu wa Muhimili wa serikali. Wanajadili sana performance ya serikali kuliko Mahakama na Bunge. Hakuna Sehemu mbele ya Rais wanaoshauri bali wanapongeza.

Huu mfumo unatumiwa na nchi gani Duniani ya kidemokrasia au kidikteta? Je, kuna sheria inalazimishwa wakuu wa Mihimili kuambatana kila wakati? Wao wanafanya kazi zao za kibunge na mahakama wakati gani kama ratiba yao ipo subject kubadilika kuendana na ratiba ya president?

Wanapokuwepo kwenye mikutano na vikao vya mhe Rais huwa wanaongeza tija gani? Hawaoni kama wanamzuia Rais kuwakosoa kwa kuwaonea aibu? Uhuru wa Mihimili upo kweli nchini?
Only in bongoland
 
Back
Top Bottom