Ni nchi gani hawachukui mapato kwa washindi wa Betting?

Ni nchi gani hawachukui mapato kwa washindi wa Betting?

MkuuXyz

Senior Member
Joined
Jun 18, 2025
Posts
161
Reaction score
280
Wadau, hebu changieni kama mnajua kuna nchi yoyote Barani Afrika ambayo hawachukui Kodi ya Mapato kwa washindi wa Sports betting, Casino Gambling, Online Gambling na kadharika. ?

Je wewe unalipa kodi ya Mapato ukishinda kwenye spots betting ?
 
Back
Top Bottom