US peke yake ni zaidi ya Africa internal revenues zake ni zaid ya 4 trion kwa mwaka.Pato la Taifa la Afrika linafikia dola trilioni 2.8 mwaka 2024, pato la kiuchumi la watu bilioni 1.4. Lakini sio tija yote hiyo inasambazwa kwa usawa.
Ramani hii inaangazia nchi tano ambazo pato lao la kiuchumi kwa pamoja ni sawa na lile la bara zima. Data imetolewa kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa, iliyosasishwa mara ya mwisho Aprili 2024. Takwimu za Sahara Magharibi na Eritrea hazijajumuishwa kwa sababu ya kutopatikana.
Mapped: Just Five Countries Make Up Half of Africaโs GDP
Zina printiwa ndio mkuu , kwani ulifikiri pesa zinatoka sayari gani mkuu wangu?Mimi nawasiwasi hawa wazungu wanaprint pesa zao wenyewe wanaziongeza kwenye mzunguko..mfano africa tunataka kukoba dollar billion 5 kwa mwaka hawa watu kweli si wanaprint tu na kutupatia huku wakiendelea kutudai na riba juu.
Ndiyo manaake uchumi wao unauwezo wa kudhibiti mfumko wa bei, wewe jaribu kuprint uone mfumko wa bei utakapo kua hatariMimi nawasiwasi hawa wazungu wanaprint pesa zao wenyewe wanaziongeza kwenye mzunguko..mfano africa tunataka kukoba dollar billion 5 kwa mwaka hawa watu kweli si wanaprint tu na kutupatia huku wakiendelea kutudai na riba juu.
Dunia haina usawa isee..!Ndiyo manaake uchumi wao unauwezo wa kudhibiti mfumko wa bei, wewe jaribu kuprint uone mfumko wa bei utakapo kua hatari
USA ndio zake,hizi hebu imagine China kwa miaka karibu 10 sasa anaingoza kwa export,lakini uchumi wake dhidi wa USA upa pale pale.Mimi nawasiwasi hawa wazungu wanaprint pesa zao wenyewe wanaziongeza kwenye mzunguko..mfano africa tunataka kukoba dollar billion 5 kwa mwaka hawa watu kweli si wanaprint tu na kutupatia huku wakiendelea kutudai na riba juu.
Kama wangekua Wana print tu si kungekua na mfumuko wa bei ?Mimi nawasiwasi hawa wazungu wanaprint pesa zao wenyewe wanaziongeza kwenye mzunguko..mfano africa tunataka kukoba dollar billion 5 kwa mwaka hawa watu kweli si wanaprint tu na kutupatia huku wakiendelea kutudai na riba juu.
Kwa nini tu control,kama South Korea yenye idadi ya watu 51M kwenye eneo la km za mraba 100,000 ambapo eneo hilo ni mara 9 ya eneo letu,je sisi wenye watu 67M kwenye eneo la mara 9 ya South Korea.duuuh bongo population inaenda 68M, kufikia 2040 tunaweza kuwa 100M, ๐ serikali icontrol hii population growth
Mimi nawasiwasi hawa wazungu wanaprint pesa zao wenyewe wanaziongeza kwenye mzunguko..mfano africa tunataka kukoba dollar billion 5 kwa mwaka hawa watu kweli si wanaprint tu na kutupatia huku wakiendelea kutudai na riba juu.