Ni ndoto gani uliyowaiota ambayo huwezi kuisahau

Nimezimiss ndoto zangu nikiwa mdogo nilikuwa napaa hewani......NATAKA KUWA MTOTO BYJay Dee
 
Nakumbuka niliota ndoto miaka mitano iliopita nikaota nimekufa ila cha ajabu mda wa kuzikwa naenda mwenyew kaburin nimeongozana na watu jeneza wamelishika wao nimevalishwa vzur nikaingia kaburin mwenyew hapo tena nikashtuka ilikua saa nane ucku aaaaaaaarrrgg nikaogopa sana 😱 😱 😱 😱 😱 😱 😱 😱
 
Niriota na nunua bombedier nmeambiwa laki 8 nikaomba kupunguziwa had laki 2 na nusu
 
mi nshawahi kuwa na godoro jembamba hadi siku moja nikaamua nilalie shuka halafu nijifunike godoro...
 
Weka picha ya ng'ombe please
 
Weka photo tuone mkuu
 
Niliota kwenye mtihani wa f4 nimechelewa kuamka kitandani meanafunzi mmoja akaja kuniamsha akaniambia kumbe ulikua umelala cc tumeshamaliza mtihani wa biology
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…