Ni ndoto gani uliyowaiota ambayo huwezi kuisahau

Ni ndoto gani uliyowaiota ambayo huwezi kuisahau

Nimezimiss ndoto zangu nikiwa mdogo nilikuwa napaa hewani......NATAKA KUWA MTOTO BYJay Dee
 
Nakumbuka niliota ndoto miaka mitano iliopita nikaota nimekufa ila cha ajabu mda wa kuzikwa naenda mwenyew kaburin nimeongozana na watu jeneza wamelishika wao nimevalishwa vzur nikaingia kaburin mwenyew hapo tena nikashtuka ilikua saa nane ucku aaaaaaaarrrgg nikaogopa sana 😱 😱 😱 😱 😱 😱 😱 😱
 
Niriota na nunua bombedier nmeambiwa laki 8 nikaomba kupunguziwa had laki 2 na nusu
 
mi nshawahi kuwa na godoro jembamba hadi siku moja nikaamua nilalie shuka halafu nijifunike godoro...
 
Kuota ndoto ni jambo ambalo kila mwanadamu hulifanya, hata wale ambao wanasema kuwa hawaoti. They do, they just don't remember their dreams.

Kuna tafiti zinaonyesha kuwa hata, wanyama mbalimbali nao wanaota.

Fun fact kuhusu ndoto; sura zote unazoziona kwenye ndoto zako ni za watu ambao ulishawahi waona katika maisha yako, sema tu hatukumbuki.

Katika hizi ndoto, zipo ambazo huwa hatuwezi kuzisahau. Zinaweza zikawa ni zakufurahisha, kuhuzunisha, kukasirisha, kuchekesha n.k

So embu tushare with the community, ni ndoto gani uliyowaiota ambayo huwezi kuisahau.

I'll start.

One of my most memorable dreams, niliota nakimbizwa na ng'ombe, sijui hata kwa nini alikuwa ananikimbiza, ila baada ya kuchoka kumkimbia... niligeuka na tukaanza kuzichapa. Tulibondana haswa!

Hii ndoto huwa naikumbuka sana, nikiikumbuka nabaki kucheka tu. Maana it doesn't make sense at all.
Weka picha ya ng'ombe please
 
Nilikuwa msibani sasa ndoto niliyoiota nasafiri kwenda iringa sasa dereva akatupa dakika 10 tu ya kuchimba dawa sasa yule dereva alikuwa anapiga honi mara kwa Mara sasa mie ile presha ya honi nikaamua nijisaidie fasta fasta niwahi kabla ya dakika 10 hizo ,

Kilichotokea siku ile ile nilikimbia kurudi kitaa ,stori ndefu ila ndoto hii ilinivua nguo na kunikosesha amani
Weka photo tuone mkuu
 
Niliota kwenye mtihani wa f4 nimechelewa kuamka kitandani meanafunzi mmoja akaja kuniamsha akaniambia kumbe ulikua umelala cc tumeshamaliza mtihani wa biology
 
Back
Top Bottom