Gagurito JF-Expert Member Joined Feb 11, 2011 Posts 5,600 Reaction score 806 May 22, 2011 #21 Mara nyingi ndoto ni fikra za mtu, nadhan utakuwa ni muda muafaka kwangu kuja na strategies za kufanikisha maisha!
Mara nyingi ndoto ni fikra za mtu, nadhan utakuwa ni muda muafaka kwangu kuja na strategies za kufanikisha maisha!
Dr.Chichi JF-Expert Member Joined Apr 30, 2008 Posts 2,393 Reaction score 632 May 22, 2011 #22 Du mi nachukia kusoma ile mbaya,so hiyo itakuwa soo..ila maisha ya utotoni raha sana ufikirii mengi unakuta kila kitu unafanyiwa
Du mi nachukia kusoma ile mbaya,so hiyo itakuwa soo..ila maisha ya utotoni raha sana ufikirii mengi unakuta kila kitu unafanyiwa
cheusimangala JF-Expert Member Joined Feb 27, 2010 Posts 2,585 Reaction score 498 May 22, 2011 #23 mim kama ni ndoto sitaki kuzinduka.iendelee tu
jouneGwalu JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 2,687 Reaction score 1,782 May 22, 2011 #24 Humphnicky said: Another BUJIBUJI Click to expand... Unoko tu. We kama hujapenda hii kitu si ujikatae tu. Kuna watu mnajifanya hili JAMVI ni lenu........ si ungekuwa premium na wewe! Eti "another BUJIBUJI" wakati huyo ni member mwingine tu. Wengine tumeipenda hii thread bwana. MISIFA TU.
Humphnicky said: Another BUJIBUJI Click to expand... Unoko tu. We kama hujapenda hii kitu si ujikatae tu. Kuna watu mnajifanya hili JAMVI ni lenu........ si ungekuwa premium na wewe! Eti "another BUJIBUJI" wakati huyo ni member mwingine tu. Wengine tumeipenda hii thread bwana. MISIFA TU.
Rose1980 JF-Expert Member Joined May 10, 2010 Posts 5,684 Reaction score 1,305 May 22, 2011 #25 ahh nipo ndoton apa enhh...naamka bwaqna stak tena
Eiyer JF-Expert Member Joined Apr 17, 2011 Posts 28,259 Reaction score 20,891 May 23, 2011 #26 Je kama uko na mapesa kibao jumba la ukweli,wife wa ukweli kisha ukastuka ukajikuta upo uru kishumundu kwenye nyumba ya makuti utajinyonga?
Je kama uko na mapesa kibao jumba la ukweli,wife wa ukweli kisha ukastuka ukajikuta upo uru kishumundu kwenye nyumba ya makuti utajinyonga?