Ni ndoto tu.

Ni ndoto tu.

Mara nyingi ndoto ni fikra za mtu, nadhan utakuwa ni muda muafaka kwangu kuja na strategies za kufanikisha maisha!
 
Du mi nachukia kusoma ile mbaya,so hiyo itakuwa soo..ila maisha ya utotoni raha sana ufikirii mengi unakuta kila kitu unafanyiwa
 
Another BUJIBUJI

Unoko tu.
We kama hujapenda hii kitu si ujikatae tu.
Kuna watu mnajifanya hili JAMVI ni lenu........ si ungekuwa premium na wewe!
Eti "another BUJIBUJI" wakati huyo ni member mwingine tu.
Wengine tumeipenda hii thread bwana.

MISIFA TU.
 
ahh nipo ndoton apa enhh...naamka bwaqna stak tena
 
Je kama uko na mapesa kibao jumba la ukweli,wife wa ukweli kisha ukastuka ukajikuta upo uru kishumundu kwenye nyumba ya makuti utajinyonga?
 
Back
Top Bottom