Ni neno gani linalotumika humu JF toka ujiunge linakuchekesha sana

Ni neno gani linalotumika humu JF toka ujiunge linakuchekesha sana

Marcel 12

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2022
Posts
483
Reaction score
696
Wakuu habari,toka nijiunge humu JF nmekutana na maneno/misamiati kadhaa inayonivunja mbavu ,neno linalonichekesha zaidi ni “Chai”[emoji23] yani mtu akisema hii chai kabisa nacheka sana.

Wewe je ni neno gani ulilolikuta humu linakufurahisha sana?
 
Back
Top Bottom