popomaWakuu habari,toka nijiunge humu JF nmekutana na maneno/misamiati kadhaa inayonivunja mbavu ,neno linalonichekesha zaidi ni “Chai”[emoji23] yani mtu akisema hii chai kabisa nacheka sana.
Wewe je ni neno gani ulilolikuta humu linakufurahisha sana?
Shipa la kimkakati[emoji23]Wakuu habari,toka nijiunge humu JF nmekutana na maneno/misamiati kadhaa inayonivunja mbavu ,neno linalonichekesha zaidi ni “Chai”[emoji23] yani mtu akisema hii chai kabisa nacheka sana.
Wewe je ni neno gani ulilolikuta humu linakufurahisha sana?
ukute mtu kaweka bidhaa yake anauza hajaweka bei wahuni utasikia "mbona bei kubwa hvyo' kama kaweka namba wanaifanya ndo pesa utasikia du 'kwa hela hii 757,677,879 hupati mteja" [emoji23][emoji23]
😀😀 Kabisa mkuu.Kila mtu Jf ni "MKUU" hahaha