Ni neno gani uliwahi kuambiwa na mpenzi wako likakutouch moyoni na huwezi kulisahau?

He never told me tht z a married man, one day i receive a call from someone (mwanamke) she told me niachane na mme wake...nilivyomwambia akanigeuzia kibao akanambia mm ndo namsaliti he told me " kwann umenisaliti coz i dnt knw how to ----,to take care of u.shit?.
Iliniuma sana na nililia sana!!. Baada ya mwezi mmoja nikagundua kweli ni mme wa mtu na anamtoto mmoja. God knowz
 
Reactions: SDG
Ahhhhh....
sitongozi tena, kumbe mioyo yenu imekwisha kabisa, kila mtu katendwa....
it's sad kwa kweli..

We jidanganye tu!
Watu wanaapaga miungu na miungu......lakini wapiiii! Mwisho wa siku utajikuta umo mule mule tu!

So, we jiandae kuyakabili yakhee!
 
Reactions: SDG
We jidanganye tu!
Watu wanaapaga miungu na miungu......lakini wapiiii! Mwisho wa siku utajikuta umo mule mule tu!

So, we jiandae kuyakabili yakhee!

Ushawahi kupondwa moyo? Lol...
sasa nani kabaki!!!!!
 
Reactions: SDG
Nategemea kuoa mwezi wa 6 vip utanichangia mchango? Mapenzi yetu yataendelea...?? Baadae akasema NAKUTANIA... Ameniacha na mawazo mpaka sasa nahis naibiwa kama kuna mwanamke wa maisha yake na sio mimi!!
 
Reactions: SDG
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…