haule.scola
Senior Member
- Jul 23, 2012
- 148
- 28
Baby sitakuja kukusaliti hata siku moja, huyo ni james mimi nikaja kumuibia password ya email adress yake nikawa naitembelea mara kwa mara nikagundua ananisaliti nikamfanyia suprise nikaenda kwake arusha bila yeye kujua nikafika saa nne usiku nikajibeba hadi kwake nikamkuta na mwanamke kitandani kavaa na night dress yangu. Niliumia sana nikasema siji penda tena, baada ya miaka miwili kupita nikakutana na vincent nikasahau kama niliapa kama siji penda tena huyo nikaingia kwenye relationshirp siku moja akawa amenikosea kitukikubwa sana nikamumuuliza huku na bubujikwa na machozi hivi vincent unanichukuliaje hadi unanifanyia hivi? JIBU nakuchukulia kama binadamu wa kawaida kwani we ulifikiri nakuchukulia kama malaika? Nilichukia sana hadi leo siwapendi hawa viumbe wanaoitwa wanaume. NB. NIMETUMIA MAJINA HALISI ILI KAMA MPO HUMU NDANI VINCENT NA JAMES KAMA MTAPITA KWENYE HUU UZI MJUE MLINIUMIZA SANA