Ni neno gani uliwahi kuambiwa na mpenzi wako likakutouch moyoni na huwezi kulisahau?

Baby sitakuja kukusaliti hata siku moja, huyo ni james mimi nikaja kumuibia password ya email adress yake nikawa naitembelea mara kwa mara nikagundua ananisaliti nikamfanyia suprise nikaenda kwake arusha bila yeye kujua nikafika saa nne usiku nikajibeba hadi kwake nikamkuta na mwanamke kitandani kavaa na night dress yangu. Niliumia sana nikasema siji penda tena, baada ya miaka miwili kupita nikakutana na vincent nikasahau kama niliapa kama siji penda tena huyo nikaingia kwenye relationshirp siku moja akawa amenikosea kitukikubwa sana nikamumuuliza huku na bubujikwa na machozi hivi vincent unanichukuliaje hadi unanifanyia hivi? JIBU nakuchukulia kama binadamu wa kawaida kwani we ulifikiri nakuchukulia kama malaika? Nilichukia sana hadi leo siwapendi hawa viumbe wanaoitwa wanaume. NB. NIMETUMIA MAJINA HALISI ILI KAMA MPO HUMU NDANI VINCENT NA JAMES KAMA MTAPITA KWENYE HUU UZI MJUE MLINIUMIZA SANA
 
Pole aisee..
Vincent na James.. nyie viumbe mlimtenda bidada mbayaa...Oneni sasa najaribu kumshawishi anipende ila holaa!!
 
Pole mpendwa...but ilo pia n fundsho kua tupo tofaut wanaume.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Pole aisee..
Vincent na James.. nyie viumbe mlimtenda bidada mbayaa...Oneni sasa najaribu kumshawishi anipende ila holaa!!

teh teh tehe..... naona Eli79 unatumia citation
 
1, heshima yako kwa ndg zangu iendelee hata km nitakufa siku saba baadae akapata ajali mitaa ya sahara mwanza, akalazwa bugando siku tatu baadae akafariki kweli ckuamin km enjo ataniacha,, iliniuma na sintousahau ucheshi wake
 
Dah! Unanikumbusha mengi sana, eti baby usiniache plz, mm cwz fny hvyo, miez ss 3 imepita juzi anacall na ukiambia unakumbuka nn cku kama ya leo, nikajib ckumbuk k2, dah! Kumbe ilikuw n 1st day ya kumgegeda. Kidume nilisha sahau.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Baby sitakuja kukusaliti hata siku moja, huyo ni james mimi nikaja kumuibia password ya email adress yake nikawa naitembelea mara kwa mara nikagundua ananisaliti nikamfanyia suprise nikaenda kwake arusha bila yeye kujua nikafika saa nne usiku nikajibeba hadi kwake nikamkuta na mwanamke kitandani kavaa na night dress yangu. Niliumia sana nikasema siji penda tena, baada ya miaka miwili kupita nikakutana na vincent nikasahau kama niliapa kama siji penda tena huyo nikaingia kwenye relationshirp siku moja akawa amenikosea kitukikubwa sana nikamumuuliza huku na bubujikwa na machozi hivi vincent unanichukuliaje hadi unanifanyia hivi? JIBU nakuchukulia kama binadamu wa kawaida kwani we ulifikiri nakuchukulia kama malaika? Nilichukia sana hadi leo siwapendi hawa viumbe wanaoitwa wanaume. NB. NIMETUMIA MAJINA HALISI ILI KAMA MPO HUMU NDANI VINCENT NA JAMES KAMA MTAPITA KWENYE HUU UZI MJUE MLINIUMIZA SANA

pole sana sista wangu,nakuombea cku mmoja umpate atakaye kufuta machozi!
 
  • Thanks
Reactions: SDG
"K...., nimeamua kwa dhati na kwa roho nyeupe kutoa hii mimba yako, kwani wewe bado huna hadhi ya kuwa baba wa watoto wangu na kamwe hutayaweza majukumu ya kulea mtoto hasa ukizingatia bado upo masomoni....."
Baada ya wk akanitumia tena sms "I have done it though niliumwa sana na kupata maumivu makali ila naendelea vizuri kwa sasa"
Sitakuja kukusahau kamwe maishani mwangu kwani it was my first time to impregnant a woman tangu nizaliwe, tukaachana hapo na yeye mwaka jana kaolewa na tayari ana mtoto mmoja wa kiume.
Wanawake nyie.!!
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Baby sitakuja kukusaliti hata siku moja, huyo ni james mimi nikaja kumuibia password ya email adress yake nikawa naitembelea mara kwa mara nikagundua ananisaliti nikamfanyia suprise nikaenda kwake arusha bila yeye kujua nikafika saa nne usiku nikajibeba hadi kwake nikamkuta na mwanamke kitandani kavaa na night dress yangu. Niliumia sana nikasema siji penda tena, baada ya miaka miwili kupita nikakutana na vincent nikasahau kama niliapa kama siji penda tena huyo nikaingia kwenye relationshirp siku moja akawa amenikosea kitukikubwa sana nikamumuuliza huku na bubujikwa na machozi hivi vincent unanichukuliaje hadi unanifanyia hivi? JIBU nakuchukulia kama binadamu wa kawaida kwani we ulifikiri nakuchukulia kama malaika? Nilichukia sana hadi leo siwapendi hawa viumbe wanaoitwa wanaume. NB. NIMETUMIA MAJINA HALISI ILI KAMA MPO HUMU NDANI VINCENT NA JAMES KAMA MTAPITA KWENYE HUU UZI MJUE MLINIUMIZA SANA

James n Vicent aisee,pole sana ila pozi la kumkuta huyo bidada kavaa na nyte dress yako
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Ni bora anayesema unaweza kujikusanya ukakung'uta vumbi ukatambaa! Kuliko Yule anayekupotezea tu hata ukijaribu kumuuliza she's kind dodging you telling you the truth...
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Back
Top Bottom