mmh aiseeeUlivyoni-do sijaridhika
nilijifanya mzungu saana mara ghafla akaniambia "ingiza basi" duh nitasahauje hile momento!!!
Alinambia ningekua mrefu kidogo labda angenifikiria!!! Roho iliniuma!!
Ilikua katikati ya game limekolea kwelikweli, nasimamia vidole mzee mzima, break p.mb., kwa taharuki akaniambia. 'bebi tia yote'. Daah mzuka ukaisha kabisaa na game ikaishia hapo.
teh teh teh!!!Ndio uondoe hizo breki ili iingie yote
Nikiwa na mimba ya mwezi mmoja, namtaarifu mwenzangu ya kuwa nimekosa mp mwezi huu nahisi nina mimba. Alinijibu "Sina mpango wa kuwa baba, kwanza ndugu zangu wamenitafutia binti wa kiarabu ana k.u.m.a tamu kushinda yako."
Mungu alinisaidia nikajifungua salama, akiwa na miezi sita na nusu mwanangu anafariki. Mwanangu alikataliwa na babake tokea akiwa tumboni.
Mwanangu Glory may your soul rest in eternal Peace, bado nakupenda Glory ingawa haupo machoni mwangu!!!
Imeniuma sana mkuu, na ndio alikuwa mwanaume wangu wa kwanza, nashindwa kuwaamini tena hawa wanaume ingawa najua si wote. Ila imeniuma zaidi mwanangu tu, namuona nikilala natamani angekuwepo ila Mungu kampenda zaidi.Pole sana mamii. The guy anadunda tu mjini?
Mimi ingeniuma for the rest of my life.
Imeniuma sana mkuu, na ndio alikuwa mwanaume wangu wa kwanza, nashindwa kuwaamini tena hawa wanaume ingawa najua si wote. Ila imeniuma zaidi mwanangu tu, namuona nikilala natamani angekuwepo ila Mungu kampenda zaidi.