Ni neno gani uliwahi kuambiwa na mpenzi wako likakutouch moyoni na huwezi kulisahau?

pole mumy
 
pole sana
 
Mi nliambiwa hujui ku-CARE ndo maana nimekuacha hahaha hyo 2007!
 
he told me"nakupenda mke wangu mtarajiwa, na kuwa makin na dunia ucniumize.. ntakupenda daima" mh.. after few dayz akafarik dunia.. nililia nakujiona naonewa kbxa... nikikumbuka huwa naumia sana na nataman kupata mwenye upendo kama yeye bt mh..!
 
Bila wewe siwezi kuishi wewe ndio punzi yangu bora nife kuliko kukukosa cha ajabu akaenda kuolewa na millionaire ( siyo wa madafu wa $$$$) na hakufa yuko anaishi
Hahahaa hayo ni maajabu kweli..
 
Wewe ni faraja yangu, una moyo tajiri nakupenda sana mke wangu.
Sitaisahau hii sentensi.
 
Reactions: SDG
Jamani pole dia....Mungu ni mwema....
 
Reactions: SDG
he told me"nakupenda mke wangu mtarajiwa, na kuwa makin na dunia ucniumize.. ntakupenda daima" mh.. after few dayz akafarik dunia.. nililia nakujiona naonewa kbxa... nikikumbuka huwa naumia sana na nataman kupata mwenye upendo kama yeye bt mh..!

Pole sana!Mungu atakupa mwingine atakayekupenda hivyo hivyo
 
mimi niliambiwa siku ya kwanza kabisaa mume wangu huyu alininivua ka.chu.pi na kunikuta nipo kwenye makaratasi...
I will love you two times in my life..NOW and FOREVER.. and if you die let me die with you and if i die? nikamwambia let me live! hahah
but i thanks God tupo pamoja mpaka leo..
 
alinikosea nikataka kumuacha ilikuwa 2011 akasema
"nimekosa please usiniache nimekuzoea ni ngumu kuishi bila wewe naomba second chance ili niwe mwema kwako"

hadi leo ni mwema kwangu na anakiumbe wangu hope nitamuona
 
Reactions: SDG
"najua unavyonipenda na unavyohitaji kuishi na mimi ila naona nitakusumbua sana maanake sijamaliza starehe za ujana" he stopped there and hug me with tears on his cheeks...angejua ninavyompenda angerudi hata for a single day.

Wampenda kweli bt shukuru kakwambia ukweli wake. vuta subira utampata anayejua maana ya kuoendwa
 
Evarm poleee sana. Mwwnyezi mungu ataupoza uchungu wako na utapata cwt baby mwingine
 
Last edited by a moderator:
Reactions: SDG
alinikosea nikataka kumuacha ilikuwa 2011 akasema
"nimekosa please usiniache nimekuzoea ni ngumu kuishi bila wewe naomba second chance ili niwe mwema kwako"

hadi leo ni mwema kwangu na anakiumbe wangu hope nitamuona

Hata vitabu vinaagiza kuaamehe 7x 70
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…