haule.scola
Senior Member
- Jul 23, 2012
- 148
- 28
Nikiwa na mimba ya mwezi mmoja, namtaarifu mwenzangu ya kuwa nimekosa mp mwezi huu nahisi nina mimba. Alinijibu "Sina mpango wa kuwa baba, kwanza ndugu zangu wamenitafutia binti wa kiarabu ana k.u.m.a tamu kushinda yako."
Mungu alinisaidia nikajifungua salama, akiwa na miezi sita na nusu mwanangu anafariki. Mwanangu alikataliwa na babake tokea akiwa tumboni.
Mwanangu Glory may your soul rest in eternal Peace, bado nakupenda Glory ingawa haupo machoni mwangu!!!
pole mumy