And how can you be so sure about the red part? May her soul indeed RIP.She told me this" if i have to choose between breathing and loving you,i would use my last breath to tell you i love you", it was poetic but it truly came from her heart, i still remember her,may her soul rest in peace.
Mimi nina futi 2 tu, vp unakubali kuwa wangu wa kufa na kuzikana?huyo hakukupenda tu kwani urefu kitu gani bana, its the heart that loves not height
Ndo mnapoambiwa ikimbieni zinaa muelewe maana yake. Hivi unadhani ungesubiri hadi uolewe ungekutana na kashfa kama hizi. Mimi dada zangu huwa nawaambia wanaume sisi, ukitupa mzigo kama hatujakuoa tunakuona wa kawaida tu, Thamani inarudi sifuri kwa kasi sana. Mwenyewe ukaona unapeendwa kumbe jamaa anakutumia tu. Yaani kwake yeye thamani yako wewe ni uchi tu, na hata huyo mwarabu wake ndivyo anavyomchukulia. Kwa upande mwingine simtetei huyu muhuni, hafai kabisa. Ila dada zetu mna uwezo wa kutulia mkiamua basi tu hamtaki.Imeniuma sana mkuu, na ndio alikuwa mwanaume wangu wa kwanza, nashindwa kuwaamini tena hawa wanaume ingawa najua si wote. Ila imeniuma zaidi mwanangu tu, namuona nikilala natamani angekuwepo ila Mungu kampenda zaidi.
Amphibia leo umesalimu amri?! Hongera kwa kupendwa!Wewe ni faraja yangu, una moyo tajiri nakupenda sana mke wangu.
Sitaisahau hii sentensi.
Hili ni tatizo la kutumia moyo kufikiri. We mtu kakwambia kapata mpenzi mwingine, unajiuliza umekosea wapi??!! Ulipokosea ni pale ulipoweka penzi lako. Hii iko wazi mkuu, sema labda ndio kama wasemavyo wahenga kuwa "mapenzi upofu".Nakumbuka aliniambia naomba uniache kwani tayari nishapata mpenzi mwingine.
Kila nikifikiria nilimkosea wapi sijui!
"get a life"
And how can you be so sure about the red part? May her soul indeed RIP.
"Hivi huoni wanaume wengine huko....au Mwanaume ni mimi peke yangu"
Siku niliyomuacha ndio alishangaa kujua ka mwanaume ni yeye tu ama kuna wengine
Amphibia leo umesalimu amri?! Hongera kwa kupendwa!
kwahiyo uliona bora kumuwahi sio........
Alinifinya pumbu