Ni neno gani uliwahi kuambiwa na mpenzi wako likakutouch moyoni na huwezi kulisahau?

Ni neno gani uliwahi kuambiwa na mpenzi wako likakutouch moyoni na huwezi kulisahau?

She told me this" if i have to choose between breathing and loving you,i would use my last breath to tell you i love you", it was poetic but it truly came from her heart, i still remember her,may her soul rest in peace.
And how can you be so sure about the red part? May her soul indeed RIP.
 
Imeniuma sana mkuu, na ndio alikuwa mwanaume wangu wa kwanza, nashindwa kuwaamini tena hawa wanaume ingawa najua si wote. Ila imeniuma zaidi mwanangu tu, namuona nikilala natamani angekuwepo ila Mungu kampenda zaidi.
Ndo mnapoambiwa ikimbieni zinaa muelewe maana yake. Hivi unadhani ungesubiri hadi uolewe ungekutana na kashfa kama hizi. Mimi dada zangu huwa nawaambia wanaume sisi, ukitupa mzigo kama hatujakuoa tunakuona wa kawaida tu, Thamani inarudi sifuri kwa kasi sana. Mwenyewe ukaona unapeendwa kumbe jamaa anakutumia tu. Yaani kwake yeye thamani yako wewe ni uchi tu, na hata huyo mwarabu wake ndivyo anavyomchukulia. Kwa upande mwingine simtetei huyu muhuni, hafai kabisa. Ila dada zetu mna uwezo wa kutulia mkiamua basi tu hamtaki.
 
Nakumbuka aliniambia naomba uniache kwani tayari nishapata mpenzi mwingine.
Kila nikifikiria nilimkosea wapi sijui!
Hili ni tatizo la kutumia moyo kufikiri. We mtu kakwambia kapata mpenzi mwingine, unajiuliza umekosea wapi??!! Ulipokosea ni pale ulipoweka penzi lako. Hii iko wazi mkuu, sema labda ndio kama wasemavyo wahenga kuwa "mapenzi upofu".
 
Tulikuwa tunapendana sana na girl wangu lakini siku moja akanitumia sms akisema " karibu kwenye harusi yangu itakayofanyika tarehe 30/12 /........" na akaongeza "usije ukatarajia nitakupa tena katika maisha yetu"

Iliniuma sana hadi chozi, maisha yaliendela na baada alihama mkoa na mimi nilihama pia. Baada ya miaka 6 tulionana tena kwa mara ya kwanza na akaomba tuonane tena hotelini coz mume wake alikuwa mkoa mwingine. Tulienda hotelini na tukalala na nilikula papuchi kama kawaida halaf nikamuuliza unakumbuka maneno ulioyoniambia mwaka fulani? Akaniuliza yapi nikamkumbusha then nikamwambia "UKILA CHAKULA UKABAKIZA KINAITWA KIPORO NA KIPORO HUWA HAKIPIKWI KINAPASHWA TU MOTO HALAFU UNAKILA TENA" alilia sana yule mwanamke na akavaa nguo zake akaondoka.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Asante kwa kurudishwa kwa hii thread yangu niliipost kwa maana ya kupunguza maumivu ya maneno kwa kuyaweka wazi
 
  • Thanks
Reactions: SDG
kuanzia leo mimi na wewe basi, dah nilikuwa chizi shikamoo had kwa watoto wadogo. aisee kuumizwa kuckilizie kwa mwenzio tu usiombe yakukute.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
.... Mnaacha....mnaachwa, then mnaacha na kuachwa multiple times. At the end, hata hamna jipya tena katika mapenzi, hata hizo ndoa zinakuwa fashion tu coz vikojoleo havina thamani tena. Thamani yetu iko wapi?
 
Siku nilipopigiwa got in vacation na kutolewa pete na kuhulizwa "Nakshi will you marry me?" Mbele za watu sitaisahau hii siku katika maisha yangu yote
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Back
Top Bottom