Ni neno gani uliwahi kuambiwa na mpenzi wako likakutouch moyoni na huwezi kulisahau?

Ilikua katikati ya game limekolea kwelikweli, nasimamia vidole mzee mzima, break p.mb., kwa taharuki akaniambia. 'bebi tia yote'. Daah mzuka ukaisha kabisaa na game ikaishia hapo.
Ahahahah!.....unakata game kisha unamuuliza una rambooo??
 
Reactions: SDG
"Nakupenda sana Juc na hii ndo sababu ya mimi kuridhia uwe na mwanamke mwingine umpendae,ipo siku nami Mungu atanipa mwanaume mwenye Upendo kama wako na baba yangu"kwa sasa natamani sana anisamee pale nilipokosea but daah it's too late.....G yote yale hayakuwa makusudi.
 
Reactions: SDG
Nilikuwa nimelala kifuan kwake huku akinipapasa mgongon akaniambia babe I will never hurt you again bt after two month akampa mimba msichana mwngne..iliniuma sana
 
Reactions: SDG

Du, napata wasiwasi hao mademu wako natumai wapo mkoa wa Nyanda za Juu kusini. Maana hivyo hivyo ulivosema yalinikuta, hadi nafikiri tumepita njia moja. Namba 1 hapo anafanya kazi tayari sekta ya afya na namba 2 bado yuko shule. Duuuu
 
nlompenda kulko wote aliniomba hela nkamjbu cna akaniambia kwan we c mwanamke"means nkauze il nmpe yy khaa!.
 
Mshamba huyo. Hajui wanaume siku hizi bei yao iko juu zaidi? Angeenda kuuza yeye.
nlompenda kulko wote aliniomba hela nkamjbu cna akaniambia kwan we c mwanamke"means nkauze il nmpe yy khaa!.
 
Sasa siku ukipata ajali kiuno cha kitanga kikamaliza mkataba si itabidi ajinyonge? Ama utamtaftia mdogo wako aliendeleze?
 
Hehehe i am me. Siku hizi mashoga wana bei sana bwana. Mie tumekubaliana siku akitamani tigo tu tunaanza na ya kwake

Na hivyo wamefika mpaka Rombo! Ipo siku atatamani tu kuitumia Tigo!

Nowadays wanasema 'ukinyimwa kwako tafuta kwa jirani'!
unalijua hilo?

Btw, nakuja Pm unitumie breakfast!:lol:
 
Siku nilipomgia bila kupokea nkatuma msg haikujbiwa kesho yake nampigia anasema
"alaf jana ulpo npigia smu alkua nayo mke wangu kwahyo msg kasoma akaifuta sijaona chochote eenh tuendelee unasemaje?".
 
Reactions: SDG
mara ya mwisho my x gf kanambia OMYGAD nakwenda kwa OBAMA 4 good
 
Reactions: SDG
Mmh ... No more pain asubuhi umeambiwa hivyo afu jioni unapigiwa simu achana na mpenzi wangu....

Hujakaa sawa unaambiwa joyce nakupenda sana na fatuma nampenda pia sina uamzi namuacha Mungu aamue...... Iyo siku nilichizika kwa mudaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…