Tunaambiwa mengi na tuwapendao ila lipo neno moja ambalo limewahi kugusa moyo kiasi kwamba si rahisi kusahau!
TIRIRIKENI
mi niliambiwa hajawai kuwa na hisia na mimi so huwa nambaka..
Mmhhh Honestly I only remember bad and not goods . At the end I just wish him the best in his life ... Thanks..
Ahahahah!.....unakata game kisha unamuuliza una rambooo??
duh! Pole sana. Had saiv uponae?
Duh....pole sana emmy2ny, mi aliniambia anatupenda sana mimi na mtoto wake na kwamba yupo kwaajili yetu. Atatulea kwa kadri atakavyoweza ilmradi tuwe na furaha.
Nusu saa baadae nikaambiwa amefariki kwa ajali ya gari,kwakweli mpk sasa naona km Mungu amenionea sana maana dream zote zimekata ghafla. Nikikumbuka nalia sana, May his soul rest in peace!!!
Nilikuwa nimelala kifuan kwake huku akinipapasa mgongon akaniambia babe I will never hurt you again bt after two month akampa mimba msichana mwngne..iliniuma sana
Ha ha ha ha yaani wewe mie ninatamani sana kukuona live...........vituko vyako vyawezamfanya mfiwa akacheka walah!