asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,035
Sitaki kua na mke ambaye nikitoka nitafikiria nyuma atakuwa anatakwa na wanaume wengne.sitaki mke mjinga. Ndo kaul ya mpenz wangu kila siku na sitaisahau
Its Over, huna hadhi ya kuwa na mtu kama mimi
She told me this" if i have to choose between breathing and loving you,i would use my last breath to tell you i love you", it was poetic but it truly came from her heart, i still remember her,may her soul rest in peace.
hilo kweli lazima likuume
Tunaambiwa mengi na tuwapendao ila lipo neno moja ambalo limewahi kugusa moyo kiasi kwamba si rahisi kusahau!
TIRIRIKENI
"Hivi huoni wanaume wengine huko....au Mwanaume ni mimi peke yangu"
Siku niliyomuacha ndio alishangaa kujua ka mwanaume ni yeye tu ama kuna wengine
kwamba hawezi kuoa kabila flan hapo kashanigaragaza nimechoka
sikutaki we Govinda
duuuh! niko nalala...
1. nimemaliza tu kum do akaanza kulia nikahamaki nini tatizo, what have I done wrong? Akaniambia "i know you have got what you wanted, na utaniacha" Dah it touched me and I proved her wrong, yeye ndio akaja kucheat!
2. Huyu mwingine ilinibidi nicheke sana. Nilimpelekea moto akacum then nikawa naendelea hehehe 5 mins into the game ananipiga na kulia "darling naomba usimfanye hivi mtu mwingine pleeeease nyamgluu"
Hahahaha. Game ikasimama maana nilicheka sana kuona demu anawivu kiasi kile!
kuna jamaa yangu alimwambia manziake kwamba hana tofauti na dude wa bongo movie... jamani!!
sijui lilimuuma ??
Hahah mzee wa fursaPole sana. Hope ulimpata mwingine. Kama bado, nadhani unajua pa kunipata.