Ni neno gani uliwahi kuambiwa na mpenzi wako likakutouch moyoni na huwezi kulisahau?

Ni neno gani uliwahi kuambiwa na mpenzi wako likakutouch moyoni na huwezi kulisahau?

Sitaki kua na mke ambaye nikitoka nitafikiria nyuma atakuwa anatakwa na wanaume wengne.sitaki mke mjinga. Ndo kaul ya mpenz wangu kila siku na sitaisahau

hili wanaume wengi sana linatupitaga vichwani mwetu...........
 
  • Thanks
Reactions: SDG
She told me this" if i have to choose between breathing and loving you,i would use my last breath to tell you i love you", it was poetic but it truly came from her heart, i still remember her,may her soul rest in peace.


pole sana mkuu...............
 
Umenikumbusha mbali sana, my ex kila mara alikuwa ananiambia mimi ni mzuri sana na nimeumbika hasa. Haikubadilika hata nilipomwacha.
Kuna siku alinicall nikiwa nadrive gari kali la jamaa yangu sasa nikawa namrusha roho kuwa watu wanaliangalia sana gari.
Akaniambia hapana hawaliangalii gari wanakuangalia wewe ulivyo.

Kiukweli mpaka kesho sitamsahau, japo alikuwa na wivu sana mpaka kunipiga ila alinipenda na alinisifia wakati wote.
 
baada ya ugomvi usioisha, nilimwambia naomba tuachane, simtaki tena.. akakaa kimya, baadae akasimamisha gari katikati ya barabara ya kwenda mkoani (main road), akasema sasa hapa tusubiri fuso lije litugonge, tufe wote tu. kwa kuogopa kufa ilibidi niwe mplole, na nifute kauli yangu
 
For me halikuwa neno... was just being ignored and getting a call hardly once a day while I was so sick awaiting surgery... and the guy was having fun na ka girlfriend wakitoka usiku na kula maisha... dah hiyo siwezi kusahau aisee...! Sometimes I needed to talk and cry my heart out... where was he...?!
 
1.wewe unayajua mapenzi au unayasikia,hujui mapenzi,alinambia hayo mbele ya washkaji,nilisinyaa gafla(nilikua nampenda kinoma)

2.hutokuja kumpata mwanamke anaekupenda km mim,sure nilikua nikifanya kosa yy ndo anaomba samahan.2yrs later akanimwaga.(nikakumbuka mistari kwenye wimbo wa madee wa haya yote maisha"HERI KUNIMWAGA KULIKO KUNIMIMINA"

Mwisho wa siku wote hao wawili huwa wanataka nirudiane nao.waende zao na maumbile yao mazuri.
 
1. nimemaliza tu kum do akaanza kulia nikahamaki nini tatizo, what have I done wrong? Akaniambia "i know you have got what you wanted, na utaniacha" Dah it touched me and I proved her wrong, yeye ndio akaja kucheat!

2. Huyu mwingine ilinibidi nicheke sana. Nilimpelekea moto akacum then nikawa naendelea hehehe 5 mins into the game ananipiga na kulia "darling naomba usimfanye hivi mtu mwingine pleeeease nyamgluu"
Hahahaha. Game ikasimama maana nilicheka sana kuona demu anawivu kiasi kile!

Huyo namba mbili namuelewa sana coz inatokeaga sana,mtu akikuduu ukajisikia haupo dunia hii unaweza kuchanganyikiwa ukifikiria yupo na m'mke mwingine
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Back
Top Bottom