Ningeshangaa atii
tayari nini?
Tayari umekuwa mtawa kamili!!
1.Sitakuacha love,labda uniache wewe (nikimkumbuka hadi chozi linanshuka)
2.I love looking at u all the time,i have finally met my baby's mama'...(biggest liar of all times)
Sitasahau alikuwa ni X wangu lakini aliugua akanipigia simu halafu akaniambia " mimi ntakufa lakini tambua NAKUPENDA SANA" dah huwa nikikumbuka hadi chozi linasogea kwenye macho maana siku tatu baada ya kuongea nae alifariki kweli.
ahahahaha
happy valentine's day mpenzi
"I will never leave you no matter what" SIku niliyoachwa haya maneno yalijirudia mara mia tisa kasoro saba
Hapa nimecheka hua yanajirudia halafu unahis unaota pakuche
mahusiano yakiwa yanaanza wapenzi hupeana promise nzurinzuri ambazo huwa hawamaanishi hata kidogo
Hizi kauli huwa watu wanazitoa wakishapendwa sanaaaa, wanaanza kujiona invincible
Ukiniacha sioi milele