Ni neno gani uliwahi kuambiwa na mpenzi wako likakutouch moyoni na huwezi kulisahau?

Unaumiza sana sana sanaaa.
Lakini kuna events zinafurahisha sanaa
Yanayofurahisha ni machache sana mkuu katika huu ulimwengu mengi yanaumiza ila kiboko ya yote kifo cha mpendwa wako dah
 
  • Thanks
Reactions: SDG

Kweli mdau kupotelewa na MPENDWA ni maumivu
 
nilikua nabembeleza asiniache baada ya kunotice changes kubwa kutoka kwake,
ME;baby naomba ukumbuke tulikotoka...ata haya mafanikio machache niliopata umechengia kwa kiasi kikubwa sana kwakweli.(hapo tuna miaka 6 kwnye relation and i was her first man).
HER;Baki nayo tu hayo mafanikio ata mwingine atayapata au tayari anayo zaidi ya hayo.
nilijisikia kufa aisee
 
Mkuu pole sana....Naamini uliumizwa sana aisee....maana ni dharau kubwa sana na dhihaka juu
 
MWAKA HUU LAZIMA NI ZAE KAMA SIO NA WEWE BASI MTU MWINGINE YEYOTE" To be honest hii kauli inanuma mpaka leo baada ya miaka miwili toka wakati huo.
Mungu ni mwema.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
1. nimemaliza tu kum do akaanza kulia nikahamaki nini tatizo, what have I done wrong? Akaniambia "i know you have got what you wanted, na utaniacha" Dah it touched me and I proved her wrong, yeye ndio akaja kucheat!

2. Huyu mwingine ilinibidi nicheke sana. Nilimpelekea moto akacum then nikawa naendelea hehehe 5 mins into the game ananipiga na kulia "darling naomba usimfanye hivi mtu mwingine pleeeease nyamgluu"
Hahahaha. Game ikasimama maana nilicheka sana kuona demu anawivu kiasi kile!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
nilikua nabembeleza asiniache baada ya kunotice changes kubwa kutoka kwake,
ME;baby naomba ukumbuke tulikotoka...ata haya mafanikio machache niliopata umechengia kwa kiasi kikubwa sana kwakweli.(hapo tuna miaka 6 kwnye relation and i was her first man).
HER;Baki nayo tu hayo mafanikio ata mwingine atayapata au tayari anayo zaidi ya hayo.
nilijisikia kufa aisee
Ndo ujue KUMTOA BIKRA MTU SIO VIZA YA KUISHI NAE MILELE,
HUMU WENGI WALOWABIKIRI MABINT WAMEWAMWAGA
 
Back
Top Bottom