Ni neno gani uliwahi kuambiwa na mpenzi wako likakutouch moyoni na huwezi kulisahau?

Ni neno gani uliwahi kuambiwa na mpenzi wako likakutouch moyoni na huwezi kulisahau?

Katikati kabisa ya mtanange... Ananiuliza, "Do you love me" [emoji23][emoji23][emoji23] Sikumwelewa
 
Kwamba nahamia upande ule huku hakuna mashiko na leo tena hiii nyumba haina raha na mimi
 
Sitasahau siku aliponipa dedication ya wimbo wa end of the road and by that time siku ufahamu huo wimbo wala maana yake but nilifwatilia nikaujua ukwel,

Real wanawake sisi ni wabaya sana but always men are behind al the things.
Haaaaaa mwanamke kama biko
 
Uliyataka mwenyew... mpaka leo nahis homa na kila nikia lecture hall namuona sit ya mbele kabisa... wanawake wauaji kabisa[emoji21][emoji21][emoji21][emoji21]
 
Back
Top Bottom