Nataka Kulewa ya DiamondAman iwe nanyi wapendwa
Eti kwako mdau ni mdau ni ngoma gan huwez lala pasipo kuisikia au huwez maliza week bila kuisikia
Mimi ni ngoma ya BABY JOSEPH MADAHA AMOURE hiyo ngoma ni noma sana aisee
LONDON BABY
Wee msabato ee?then.... SDA songs
yap yap ! ila nw nasali rc!but ni msabato toka nazaliwaWee msabato ee?
Okyap yap ! ila nw nasali rc!but ni msabato toka nazaliwa