Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
busy kukiremisha mashairi ukiulizwa wht is biology holaaUmekumbuka nn shosti,hebu nnong'oneze namiee[emoji1]
Hii dear mama tuko pamojaHakuna nyimbo ambayo siwezi kulala bila kuisikiliza, ila kuna nyimbo nazopenda kuzisikiliza mara kwa mara.
Ya kwanza ni Dear Mama wa 2pac Shakuru.Napapenda zaidi anaposema.
"When I sick as a little kid to make me happy there's no limit to the things you did.And Eventhough I act so crazy I got thank the Lord that you made me.And I uplishet the way you rise me and all the extra love that you gave me"
Unanidai buku mkuu.Tupac shakur - dear mama.
Big notorious - BIG POPPA
Jay z - holy grail
Migos - bad x boujee
Jay z - on to the next one
Wiz kid - ojuelegba
Nasty C - hell naw
Cassper nvyovest - doc shebeleza
Davido - IF
Ali kiba - Aje.
Haahaaa! Naona play list ykoo imejazwa naHii dear mama tuko pamoja
Unanidai buku mkuu.
Haahaaa! Naona play list ykoo imejazwa na 2pacHii dear mama tuko pamoja
Unanidai buku mkuu.
Hahaa.. ndio ngoma ninazielewa zaidi, lakin yote kwa yote dear mama na keap ya head up ni nyimbo nazielewa zaidi.Haahaaa! Naona play list ykoo imejazwa na 2pac