MWANAHARAKATI MWEMA
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 216
- 313
NI ukweli husiopingika kwamba kila mtu anatamani maendeleo na ukweli huo hauwezi kubadilika.
Shida inayoniumiza kichwa changu Kwa sasa NI Kwa nini waafrika tunapenda short cut, hatupendi kuanzia chini au kutumia NJIA sahihi kupata mafanikio endelevu.
Nafahamu kwamba afrika tunategemea Sana Msaada kutoka Kwa watu waliowekeza kwenye utafiti, sasa wanachokifanya wao ni kufumua technology mfululu ili kila tunapotaka kujiinua tujikute tuko nyuma ya wakati.
Mara nyingi afrika uwa tunapata viongozi wenye mitazamo ya kuinua technology na kujitegemea ila kutokana na muda ambalo anatumia kukaa madarakani kuonekana NI mfupi bhasi hanashindwa kukamilisha malengo.
Kubwa kabisa ambalo ndio msingi wa andiko hili NI tabia ya Afrika kubeza vyakwao, unajua kuna watu wanaotokea kweli wamedhamilia kutetea na kulinda maslai ya nchi yake na kutaka kupandikiza Imani ya inawezekana kujitegemea lakini vikwazo atakavyokutana navyo kutoka kwa waafrika wenzake au nchi yake unaweza kushangaa.
Mtu anaweza kujaribu kuwaamusha watu wake kwamba hiki kitu tunaonewa tubadilike tufanye hivi na hivi litaibuka lijamaa limoja ambalo Lina visa ya marekani au nchi yoyote ya ulaya Kwa kuwa anahudumiwa na watoto wake wako nje ya nchi anakutengenezea mazingira uonekane hufai na hunakiuka haki za binadamu.
Naomba muelewa tu kwamba kwenye nchi zote zilizoendelea hakuna kosa Baya ambalo unaweza kufumgwa maisha kama ufisadi na kukwepa Kodi wao wanajua umuhimu wa Jambo Hilo, hapa bongo mtu akibanwa kwa makosa hayo wewe ni katili, nawaambia watanzania sipendi unyanyasaji lakini tabia ya kutetea ujinga haitotufikisha mbali.
Kwaherini.