Ni ngumu kumpata bikra Kanda ya Ziwa, sijui wana shida gani

Ni ngumu kumpata bikra Kanda ya Ziwa, sijui wana shida gani

Zipo nyingi tu kasoro kwenye hiyo familia yako!

BTW, nini faida ya msichana kuwa na bikra? Inamfaidia nini?
 
Aisee sijui kanda ya ziwa wanawake wao wana shida gani yaani ni rahisi kumpata msichana bikra kanda ya pwani ila ngumu sana ni kama ngamia kupita kwenye tundu la sindano ndivyo ilivyo ni ngumu kumpata bikra kanda ya ziwa hasa hasa akina mwanike wanyamwezi atleast ni rahisi na wanyaturu ni rahisi kuwapata atleast ila wasichana kutoka Mwanza, shinyanga,simiyu na akina mwanike wa Tabora hivyo hivyo na hii inaonekana wazazi hawana uangalizi kwa watoto wao sijui kuhusu Kagera ila mikoa mingine ya kanda ya ziwa nina experience sijui wana shida gani

Kupata bikra mikoa kanda ya pwani ni rahisi sana kuliko huko kanda ya ziwa sema ni ngumu sana wanawake kanda ya ziwa kukataa hawawezi ni warahisi Sana Aisee
Mada hii ni fikirishi kwa sababu uthibitisho wa madai yako ni mpaka ufanye mapenzi na msichana ndiyo ugundue hilo.

Sasa wewe ni 'kithombi' aje mpaka kuja na hitimisho la namna hii?
Tueleze mkuu, takwimu hizi ulizipataje?
 
Back
Top Bottom