Ni ngumu kumpata bikra Kanda ya Ziwa, sijui wana shida gani

Zipo nyingi tu kasoro kwenye hiyo familia yako!

BTW, nini faida ya msichana kuwa na bikra? Inamfaidia nini?
 
Mada hii ni fikirishi kwa sababu uthibitisho wa madai yako ni mpaka ufanye mapenzi na msichana ndiyo ugundue hilo.

Sasa wewe ni 'kithombi' aje mpaka kuja na hitimisho la namna hii?
Tueleze mkuu, takwimu hizi ulizipataje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…