Ni ngumu kumwacha/Kumsahau mwanamke anaekupa Papuchi kila mara unapoitaka

Ni kweli, na kadem kangu nipo nacho mwaka wa tatu Sasa ukiachana na misunderstanding zinazotokea nikivuta waya tu huyu hapa, alafu sio gold digger, ni Mimi tu kumuwezesha, Kwanza nataka nikaoe CORONA ikiisha, maana Sina cha kupoteza..
 
....hooooiiiii
Yaani 24/7 mtu unapewa papuchi hvi kweli mpo seriouz..kuna jamaa alishawai kuleta uzi humu demu ukimkuna vzuri kwa wiki anaweza akakutunuku papuchi mara 3 au 4 hii kutokana na nature yao sasa hii ya kila siku mnakuwa mko seriouz kweli...
 
We Jamaa unadhan mapenzi kama bao au mchezo Wa karata mapenzi ni uchakataji tu huwezi kuleta mzaha ukileta mzaha ndo hivyo utasikia Leo naumwa Mara nimechoka lakini ukimkuna poa kila day ni zawadi tu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani we jamaa una nikoshaga sans

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1][emoji1][emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna wanawake wanapenda game nyie...

Nakubali kbs type hii ni uwaga ni kazi sana kuwaacha ...

Hivi mwanamke asipokupa ngono kuna kingine cha maana atakupa zaidi ya kero?Binafsi sitegemei hela ya mwanamke wala lolote kwa mwanamke zaidi ya ngono,nyumba kusafishwa,kufuliwa na kupikiwa.Vitu vinne yeyote anayetaka zaidi ya hivyo kwa mwanamke ni hakika anataka stress na kero.Mwnamke ameumbwa na vitu viwili kero/karaha/stress pamoja nauwezo wa kupunguzA hizo karaha kwa kutumia papachu ikiwa papachu haitoki kwa wakati anachobakiwa nacho ni KARAHA tu hapo itakubidi ushinde baa au kwenye vijiwe vya kahawa uchelewe kurudi ukute kalala ili walau kiwango cha karaha anachokupa kiwe kdg,uwahi kuamka uende kwenye mishe zako...ili mdumu

Uislamu upo sahihi kabisa mke mmoja hatoshi ,Mimi si muislam ila kwa hili quaran zipo sawa

Cha ajabu eti siku hizi mwanamke analipa kodi hlf anajiona anamchango kweli kwenye familia mi najiona upuuzi tu pika,fua,safisha nyumba ,toa papachu kwa wakati nitakuona wa maaaaana kweli na mwenye msaada kwenye maisha yangu kuliko kunisaidia vitu ambavyo naweza kufanya

Nimeoa imebidi niji adjust kdg kwenye hiyo mentality sababu nahisi nikienda na hiyo mentality sitamuheshimu huyu mwanamke...




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuuh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…