Ni ngumu kwa adui kuficha uadui wake

Ni ngumu kwa adui kuficha uadui wake

Mwizukulu mgikuru

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2021
Posts
5,715
Reaction score
13,739
Kwa uzoefu nilionao sasa ni ngumu sana kwa adui au mtu chuki, au kinyongo kuficha uadui. Mara nyingi sana mtu anaweza kuwa anakuchukia lakini anakuchekea chekea.

Yaani anajifanya kuonyesha sura ya bashasha na mwingine hufikia hata kujifanya ni rafiki yako mkubwa. Kwa upande mwingine mwanamke anaweza kuja anajifanya anahitaji mapenzi na wewe, lakini ukimkazia hapo utagundua alitumwa kukumaliza lakini ameshindwa anaanza kuonyesha makucha yake.
 
Vipi wale waliokuwa wanakupiga Majungu hawajui kazi unayofanya wanakuzushia wameanza tena?

Safari wametuma adui ukajua rafiki ?
 
Back
Top Bottom