Ni ngumu sana kumpata mchumba/mpenzi asiyetanguliza pesa mbele kizazi hiki

Nazungumia hawa omba omba wanajifanya kama special group mbovu unakuta mshahara anakuzunguka hata mara 2 ila bado tu ana omba omba pesa zako wewe mwamba umevaa kiatu mpaka kimepinda yeye anaviatu pesa 14 na bado anakuomba mpunga wa kunununa viatu
Umeandika kwa hisia Kali Sana mkuu ila umenena ukweli kbsa
 
[emoji39][emoji39][emoji39]sio kivileeeeee ni vile tu hali ya uchumi sometimes inatununia
Nyie sio sometimes ni muda wote ata kama mna vihela vyenu.
Hela zenu tamu ila za mwanaume ni tamu zaidi
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]ubaya ni kuwa raha mnapata wote na hela mwanaume ndio analiwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kumbe mnakubali kuwa tunawatombagaa vizuri sasa hapa mbona mnasemaga tunawachafua tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…