Ananieli Nkiya unamjua wewe yuko rula na anasimamia anachoamini hana unafiki wala uchawaHabari za Sabato!
Sijawahi kumfahamu Mwanamke yeyote kwa hapa Tanzania mwenye uwezo kama Tulia Akson. Sisemi ili wengine wamuonee Wivu, wala sisemi ili yeye awe na Kiburi. Ila naongea kila ambacho ninaokiona Kwa Tulia mwenyewe.
Kama utapata Nafasi ya Kumsikia Tulia Akson akizungumza iwe kwa kuhojiwa au kuhutubia, utagundua kuwa hana tofauti na kina Kamala Harris au kina Hilary Clinton.
Utulivu!
Kujiamini!
Umahiri!
Hoja!
Ubobevu!,
Nimeona Watu wengi wanapokutana na Tulia katika mijadala wakimshindwa kwa Hoja. Unapozungumzia hoja Unazungumzia uwezo wa akili ya mtu kujenga mantiki, yaani kitu kieleweke. Wakati mwingine kwa lugha rahisi.
Tulia sijawahi kumsikia akijali uanamke wake au maumbile yake kama sehemu 6a kikwazo katika kazi zake.
Tena yeye hupendelea changamoto anapokutana na sisi wanaume.
Tulia hatajali kama wewe ni Waziri au Mheshimiwa, ukiwa bungeni kama ataona kuna jambo hujalitolea maelezo yaliyonyooka au hakuna hoja anauthubutu wa kukukosoa au kutaka kukuweka Sawa.
Kujadiliana na Tulia Akson itakupasa uwe na uwezo mkubwa kama yeye au umzidi ili usije ukaaibika.
Kwa mwanaume mwenye upeo mdogo lazima amwone Tulia kama Mjuaji, hasa pale atakaposhindwa kwa Hoja.
Tunaposema Wanawake wapewe nafasi tunahitaji wanawake wa mfano wa Tulia Akson. Wanawake wenye uwezo.
Sio Mwanamke anayelalamika hajapewa haki yake. Tunahitaji Wanawake wenye uwezo wa kudai haki zao wenyewe bila kusaidiwa. Hao ndio watakuwa na uwezo wa kuongoza.
Tulia Akson anauwezo wa kushika nafasi ya Urais katika nchi yetu na sio hivyo tuu hata kuongoza Nchi yoyote hapa Duniani. Kwa sababu anasifa za level za kimataifa.
Nimemaliza
Dkt Tulia Acksoni Mwansasu ni kama maji usipoyanywa utayaoga tuuu.nyota yake haizimwi kwa maneno ya chuki binafsi.uwezo wa dkt Tulia ni mkubwa sana na ndio maana wanambeya wameamua kumpa hati miliki ya jimbo la Mbeya mjini.ndio maana hata Dunia kwa kutambua uwezo wake wa kiuongozi iliamua kumuomba kwa magoti ili akaongoze umoja wa mabunge Duniani kama Rais wake.Unaweza kuandika kitu hapa JF ukajikuta unadhalilika milele
Ananieli Nkiya unamjua wewe yuko rula na anasimamia anachoamini hana unafiki wala uchawa
Tulia ni chawa tu mmoja hiyo inampunguza maksi kwenye sifa ulizompa
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile ap
hapa leo nakukataa mapema tu mleta uzi
Unaweza kuandika kitu hapa JF ukajikuta unadhalilika milele
Kumuona mara moja tu haitoshi jaribu kumfuatilia zaidi utamjua vizuriNkya nilimuona Juzi nafikiri kwenye mjadala wa wabunge wa viti maalum.
Ni mzuri lakini bado hatoshi kumlinganisha na Tulia
SahihiNaunga mkono hoja,
- Hongera Spika Dkt. Tulia Ackson. Kuna haja MaSpika wetu iwe lazima kuwa Wanasheria?
- Je, Wajua, Naibu Spika, Chini ya "Bora Spika", Anaweza Kuwa "Spika Bora?". Dr. Tulia, "Ukitulia, Una Fursa ya Kuwa Spika Bora Sana!" Hongera Sana!
- Spika Dkt. Tulia yuko sahihi sana, CHADEMA wajifunze kufanya vitu kwa usahihi na wafanye kiusahihi
P
Kumuona mara moja tu haitoshi jaribu kumfuatilia zaidi utamjua vizuri
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Kuongoza nchi si suala la kujua kuongea kwani ikulu anaenda kushindana debate? Sifa za raisi ni kujua kuongea vizuri??Habari za Sabato!
Sijawahi kumfahamu Mwanamke yeyote kwa hapa Tanzania mwenye uwezo kama Tulia Akson. Sisemi ili wengine wamuonee Wivu, wala sisemi ili yeye awe na Kiburi. Ila naongea kila ambacho ninaokiona Kwa Tulia mwenyewe.
Kama utapata Nafasi ya Kumsikia Tulia Akson akizungumza iwe kwa kuhojiwa au kuhutubia, utagundua kuwa hana tofauti na kina Kamala Harris au kina Hilary Clinton.
Utulivu!
Kujiamini!
Umahiri!
Hoja!
Ubobevu!,
Nimeona Watu wengi wanapokutana na Tulia katika mijadala wakimshindwa kwa Hoja. Unapozungumzia hoja Unazungumzia uwezo wa akili ya mtu kujenga mantiki, yaani kitu kieleweke. Wakati mwingine kwa lugha rahisi.
Tulia sijawahi kumsikia akijali uanamke wake au maumbile yake kama sehemu 6a kikwazo katika kazi zake.
Tena yeye hupendelea changamoto anapokutana na sisi wanaume.
Tulia hatajali kama wewe ni Waziri au Mheshimiwa, ukiwa bungeni kama ataona kuna jambo hujalitolea maelezo yaliyonyooka au hakuna hoja anauthubutu wa kukukosoa au kutaka kukuweka Sawa.
Kujadiliana na Tulia Akson itakupasa uwe na uwezo mkubwa kama yeye au umzidi ili usije ukaaibika.
Kwa mwanaume mwenye upeo mdogo lazima amwone Tulia kama Mjuaji, hasa pale atakaposhindwa kwa Hoja.
Tunaposema Wanawake wapewe nafasi tunahitaji wanawake wa mfano wa Tulia Akson. Wanawake wenye uwezo.
Sio Mwanamke anayelalamika hajapewa haki yake. Tunahitaji Wanawake wenye uwezo wa kudai haki zao wenyewe bila kusaidiwa. Hao ndio watakuwa na uwezo wa kuongoza.
Tulia Akson anauwezo wa kushika nafasi ya Urais katika nchi yetu na sio hivyo tuu hata kuongoza Nchi yoyote hapa Duniani. Kwa sababu anasifa za level za kimataifa.
Nimemaliza
Hakika"anafaa kuwa Rais" ,nimefungua Uzi bila kusoma chochote.
Nimefungua ili nikuambie kuwa wewe ni BUMUNDA mkuu.
Alishinda ubunge?Leo leo kwa mara ya kwanza nimetokea kukubali sana na nimekuelewa sana unajua kumuelewa mtu kama Dr Tulia inaitaji mtu uwe na jicho la tatu
Tulia ni mwanamke fulani hivi bright sana
C.C Pascal Mayalla
Alishinda ubunge?Habari za Sabato!
Sijawahi kumfahamu Mwanamke yeyote kwa hapa Tanzania mwenye uwezo kama Tulia Akson. Sisemi ili wengine wamuonee Wivu, wala sisemi ili yeye awe na Kiburi. Ila naongea kila ambacho ninaokiona Kwa Tulia mwenyewe.
Kama utapata Nafasi ya Kumsikia Tulia Akson akizungumza iwe kwa kuhojiwa au kuhutubia, utagundua kuwa hana tofauti na kina Kamala Harris au kina Hilary Clinton.
Utulivu!
Kujiamini!
Umahiri!
Hoja!
Ubobevu!,
Nimeona Watu wengi wanapokutana na Tulia katika mijadala wakimshindwa kwa Hoja. Unapozungumzia hoja Unazungumzia uwezo wa akili ya mtu kujenga mantiki, yaani kitu kieleweke. Wakati mwingine kwa lugha rahisi.
Tulia sijawahi kumsikia akijali uanamke wake au maumbile yake kama sehemu 6a kikwazo katika kazi zake.
Tena yeye hupendelea changamoto anapokutana na sisi wanaume.
Tulia hatajali kama wewe ni Waziri au Mheshimiwa, ukiwa bungeni kama ataona kuna jambo hujalitolea maelezo yaliyonyooka au hakuna hoja anauthubutu wa kukukosoa au kutaka kukuweka Sawa.
Kujadiliana na Tulia Akson itakupasa uwe na uwezo mkubwa kama yeye au umzidi ili usije ukaaibika.
Kwa mwanaume mwenye upeo mdogo lazima amwone Tulia kama Mjuaji, hasa pale atakaposhindwa kwa Hoja.
Tunaposema Wanawake wapewe nafasi tunahitaji wanawake wa mfano wa Tulia Akson. Wanawake wenye uwezo.
Sio Mwanamke anayelalamika hajapewa haki yake. Tunahitaji Wanawake wenye uwezo wa kudai haki zao wenyewe bila kusaidiwa. Hao ndio watakuwa na uwezo wa kuongoza.
Tulia Akson anauwezo wa kushika nafasi ya Urais katika nchi yetu na sio hivyo tuu hata kuongoza Nchi yoyote hapa Duniani. Kwa sababu anasifa za level za kimataifa.
Nimemaliza
CCM imefanikiwa Sana kutengeneza wajingaHabari za Sabato!

E
Nimemaliza
Hilo ndilo swali mhimu na la msingiAlishinda ubunge?
Alishinda ubunge?
CCM imefanikiwa Sana kutengeneza wajinga