Miti7
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 1,081
- 1,958
Watu wote wanajua hakushinda uchaguzi mbeya mjiniTume ya uchaguzi na yeye ndio wanajua.
Mimi na wewe hatujui
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wote wanajua hakushinda uchaguzi mbeya mjiniTume ya uchaguzi na yeye ndio wanajua.
Mimi na wewe hatujui
Uwezo wa nini Sasa unakurupuka tuDkt Tulia Acksoni Mwansasu ni kama maji usipoyanywa utayaoga tuuu.nyota yake haizimwi kwa maneno ya chuki binafsi.uwezo wa dkt Tulia ni mkubwa sana na ndio maana wanambeya wameamua kumpa hati miliki ya jimbo la Mbeya mjini.ndio maana hata Dunia kwa kutambua uwezo wake wa kiuongozi iliamua kumuomba kwa magoti ili akaongoze umoja wa mabunge Duniani kama Rais wake.
Watu wote wanajua hakushinda uchaguzi mbeya mjini
Udikteta na uchawaNtamfuatilia.
Lakini tukirudi kwenye uzi. Ni kipi unaona Tulia hastahili sifa nilizompa?
Udikteta na uchawa
Mambo mengine hayamuhusu anataka kuonyesha ujuaji
Akiwa rais atatumia uwezo kuumiza watu
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
IPU wazungu wametoa hicho cheo kwa Tanzania kama hongo (rushwa) ili waendelee kujibebea chochote wanachotakaMimi sijui. Sikuwepo.
Vipi kule IPU nako alishinda au hakushinda?
"anafaa kuwa Rais" ,nimefungua Uzi bila kusoma chochote.
Nimefungua ili nikuambie kuwa wewe ni BUMUNDA mkuu.
Habari za Sabato!
Sijawahi kumfahamu Mwanamke yeyote kwa hapa Tanzania mwenye uwezo kama Tulia Akson. Sisemi ili wengine wamuonee Wivu, wala sisemi ili yeye awe na Kiburi. Ila naongea kila ambacho ninaokiona Kwa Tulia mwenyewe.
Kama utapata Nafasi ya Kumsikia Tulia Akson akizungumza iwe kwa kuhojiwa au kuhutubia, utagundua kuwa hana tofauti na kina Kamala Harris au kina Hilary Clinton.
Utulivu!
Kujiamini!
Umahiri!
Hoja!
Ubobevu!,
Nimeona Watu wengi wanapokutana na Tulia katika mijadala wakimshindwa kwa Hoja. Unapozungumzia hoja Unazungumzia uwezo wa akili ya mtu kujenga mantiki, yaani kitu kieleweke. Wakati mwingine kwa lugha rahisi.
Tulia sijawahi kumsikia akijali uanamke wake au maumbile yake kama sehemu 6a kikwazo katika kazi zake.
Tena yeye hupendelea changamoto anapokutana na sisi wanaume.
Tulia hatajali kama wewe ni Waziri au Mheshimiwa, ukiwa bungeni kama ataona kuna jambo hujalitolea maelezo yaliyonyooka au hakuna hoja anauthubutu wa kukukosoa au kutaka kukuweka Sawa.
Kujadiliana na Tulia Akson itakupasa uwe na uwezo mkubwa kama yeye au umzidi ili usije ukaaibika.
Kwa mwanaume mwenye upeo mdogo lazima amwone Tulia kama Mjuaji, hasa pale atakaposhindwa kwa Hoja.
Tunaposema Wanawake wapewe nafasi tunahitaji wanawake wa mfano wa Tulia Akson. Wanawake wenye uwezo.
Sio Mwanamke anayelalamika hajapewa haki yake. Tunahitaji Wanawake wenye uwezo wa kudai haki zao wenyewe bila kusaidiwa. Hao ndio watakuwa na uwezo wa kuongoza.
Tulia Akson anauwezo wa kushika nafasi ya Urais katika nchi yetu na sio hivyo tuu hata kuongoza Nchi yoyote hapa Duniani. Kwa sababu anasifa za level za kimataifa.
Nimemaliza
Nimakali sana au sioMajani ya Ngaramtoni....

Umeshakula like yangu..mara nyingi Dk.Tulia hana hoja ila hutumia zaidi UBABE unaotokana na nafasi yake akiwa Naibu Spika au Spika.
..ukitaka kumpima mwanasiasa kama ana hoja / uwezo ama la basi utalazimika kumpima akiwa nje ya mamlaka na mbeleko ya serikali au dola.
..ukimsikiliza hoja za Dk.Tulia anapoongea na wananchi wa kawaida nje ya Uspika wake utagundua kwamba ni mwanasiasa anayelaghai wananchi kwasababu wengi wao sio waelewa.
..Mwisho, Dk.Tulia ni mwanasheria kitaaluma. Je, ametumia wanasheria wake kwa manufaa ya watawala, au kwa manufaa ya wanyonge? Je, Dk.Tulia ni mwanasheria mtafuta ngawira na vyeo, au mwanasheria mtetezi wa haki?
Unazungumzia Zumaridi wa minara ya mbinguni auNi afadhali ya Zumaridi kuliko huyu kiumbe
😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛
Unazungumzia Zumaridi wa minara ya mbinguni au
Ulishinda weweAlishinda ubunge?